Mohamed Dewij(MO) punguza ulimbukeni

Mohamed Dewij(MO) punguza ulimbukeni

Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
katika hilo ulimbukeni wake uko wapi?
 
Tatizo Simba mnaremba mwenzenu hajazoea kubembeleza, "sitaki nataka" ndo inayowachelewesha, mpeni jibu mwenzenu ana majukumu mengi ya kuhesabu hela, Dola Bilioni kadhaa unadhani mchezo wewe
 
Binafsi naona ni wazo zuri.. Jaman mnataka milele tubaki na hizi timu zetu za utumbo utumbo?? Kwan azam fc ilianzaje(mtoa mada nisaidie kidogo mana soka la bongo naona kama linanipiga chenga)
 
Kweli ule alioufanya mpaka kukaa chini kavaa suti ni ushamba tu ili aonekane yuko pamoja na wananchi maskini wakati hakuna kabisa bilionea!!!

....eti amfate!, mbingu na ardhi zitakutana wapi?!
 
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC

Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti aliziacha timu za Singida United na African Lion sabab hazina mashabiki,sasa iyo plan B yake ya MO FC nan ataishabikia?
Kwanini usinunue timu zenye base ya washabiki kama ashanti,coastal union ukaziendeleza huku zikitangaza biashara zako bil kubadirisha jina la timu maana hiyo MO FC haisound kabsa
Hili la kuanzisha timu ni jambo jema kabisa, hata yule mdosi wa Jangwani angefanya hivo hivo mpira wetu ungepiga hatua japo kidogo.
 
Hii hoja ya mkuu Isanga family sijawahi kuisikia na imenishtua sana kwa maana inaonyesha kubeba ukweli mwingi!
Kama kweli issue ni mashabiki najaribu kuwaza kwamba timu ya mpira ianyokaribia miaka 80 sasa ina mashabiki ambao hawawezi kununua hata chupa za maji ya wachezaji achana na kupata uwanja wa mazoezi wa heka mbili kwenye nchi yenye kilomita za mraba 950,000 mpaka aje 'mfadhiri', leo hii tunawaamini watu hawa hawa kama wadau wa biashara. Ukiwaza kwa makini hapa unaweza kucheka sana au ukasikitika hadi kutokwa na machozi.
kwani azam wametoa wapi mashabiki?
shida ni ile ndui tulichomwa nadhani ndio madhara haya sio bure hela zake kukaa chini na suti ni yake tuanze kujadili upuuzi huo...Timu anatoa hela yake awe bilionea asiwe wewe au mimi aitusaidii chochote kuanzisha Timu haikusaidii chochote...
 
Umaskini unakusumbua hadi unawachukia wenye pesa zao.
Sie ni balaa kwa kunung'unika, sasa sijui kama MO angesema aende jukwaa kuu alafu wazee wa Itifaki wamrudishe sijui ingekuaje hapo zaidi ya "jamaa anajiona bilionea anaamua kwenda jukwaa kuu wamemtimua" maana kukaa chini napo ni agenda na angekuja na kiti chake napo wangesema
 
Mada isiyokuwa na kichwa kabisa hii.we pesa zake zinakuhusu nini? Huu ni umaskini kabisa huu.
 
Back
Top Bottom