Unajuaje hana mapenzi na nchi yake na pia unajuaje hatokuwa tayari ku-serve katika jeshi?
Others argue that a true patriot speaks out when convinced that their country is following an unwise or unjust action.
Inaweza kuwa sio Wahindi-Watanzania
Haya Bwana,
Kama ndio kiwango cha kufikiri ndiohiki, inaonyesha tunahitaji miaka 500 kubadilika kutoka hapa tulipo.
Du, job true true!
Sawa. Ili kuondoa utata, labda pengine niwaombe maMods warekebishe heading ili iwe "Mohamed Dewj ameonyesha element ya uzalendo." kama ulivyopendekeza.
Rejea posting yangu ya mwisho..Lakini iko hapo chini again...Je huyu ndugu ame speak out kuhusiana na direction ya Taifa ambayo ni unwise na unjust?
Ama ni mambo ya cherry picking..Nilisema publicity mkabisha...
Je nilivyokwambia mwanzo wazalendo wanakuja katika nyanja tofauti, kwa hiyo unataka kuniambia wale wote wanaojitolea na kuipigania nchi yetu lakini wakawa kimya katika ku-speak out kuhusiana na muelekeo wa nchi si wazalendo??
Hapo chini nimeweka sentensi uliyoitumia hapo juu kuhusu uzalendo...Dewji ame support...Lakini unasahahu kuna ku "Love and prepared to serve"Hatuwezi kugawa uzalendo kiulaini tu kwa kigezo cha kusapoti soka na mdundiko....Uelewe hata ku serve inavyozungumziwa ni pamoja na jeshi nk...Kupigana kwa ajili ya Taifa.
Na kwenye sentensi ya mwisho kabisa kwenye paragraph ya definition ya patriotism...Nimeipenda hii na hapo ndipo napopasimamia kwenye mjadala huu...
Patriotism is a love of and loyalty to one's country. A patriot is someone who loves, supports, and is prepared to serve their country.
Mkuu Geeque sijasema hivyo naomba urejee mchango wangu kwenye thread hii.
Nimeainisha kwamba hatuwezi kusema Dewji ni mzalendo halisi kwa kutumia vigezo vya soka na mdundiko.
Nakubaliana na wewe kuwa wazalendo wanakuja kutoka nyanja tofauti lakini sidhani kama ni sahihi kusema eti nyanja yake ya mdundiko na soka ndio kuwa eti ni mzalendo halisi...Again i still believe ni publicity tu kucheza na emotions za watanzania.
Nakubaliana na wewe kuwa wazalendo wanakuja kutoka nyanja tofauti lakini sidhani kama ni sahihi kusema eti nyanja yake ya mdundiko na soka ndio kuwa eti ni mzalendo halisi...Again i still believe ni publicity tu kucheza na emotions za watanzania.
Mo ameonyesha mfano mzuri kwa wengine na kama tuna question uzalendo wake basi nadhani neno uzalendo limepoteza maana yake au pengine ili uwe mzalendo lazima uwe na surname ya Mgonja, Yona, Mramba, Karamagi et al
Nakubali!
Vipi wewe ufikiri wako ukoje kuhusu kujitokeza kwa Dewj kwenye kushangilia Stars?
Wapo wenzi wapenzi wa Manchesta, chelse, madrid nakadhalika. Sidhani kuwa wapenzi wa timu hizo wakiwemo watanzania ni Wazalendo halisi wa nchi husika!
Tumewaona kina Manji sijui na yule mwingine alikuwa anaitwa Deuji waliokuwa wafadhili wakubwa wa simba na yanga.
Jambo la msingi ni kujua tu kuwa kuna upenzi na pia kuna msumkumo wa kiuchumi, kisiasa, kujamii n.k!
Sasa hapo ndo ngoma!
Vizuri!
Je unafikiri kuna maslahi gani ya kiuchumi, kisiasa, au kijamii Dewj anayopata kwa kucheza mdundiko kwenye 120 degrees...tena akiwa amevuwa shati nusu?
Tayari yeye ni mfadhili wa michezo anayejulikana sana tu. Unafikiri kutotokea kwake kungempunguzia nini katika maslahi yake yanayopatikana na ushiriki wake katika udhamini wa soka Tz?
Umemzungumzia Manji, yeye hakuonekana akicheza mdundiko. Je unafikiri maslahi yake ya kiuchumi, kisiasa, na kijamii yamepungua kwa kutokuonekana kwenye ushangiliaji huo?
Well, inabidi uingalie hizo picha kwa karibu kuweza kuona furaha yake jinsi inavyotoka ndani na sio ya kufake.
Hakuitaji kuvua shati na kurukaruka kwenye gari la wazi.Huyu mtu ni CEO wa METL ni mtu mkubwa kwa hulka ya wahindi hakuitaji kufanya yote hayo ili kupromote biashara yake.Tunajivunia kuwa WAZANEA lakini the fact is kuna WAZAWA pamoja na WAGENI wenye mapenzi ya dhati kwa nchi hii.Kuwa MZANEA sio kitu cha kujivunia/kushikamana nacho sana,cha muhimu ni kipi unaifanyia nchi yako.Atauza sana bidhaa za viwanda vyake na kutangaza biashara zake zaidi na hii ndio inavyotakiwa kwa wafanyabiashara kitokezeni kudhamini na kutangaza biashara zetu au kazi zetu katika matukio kama haya