Mohamed Dewji amemshukuru Rais Samia kwenye Jambo Gani? Aliyeelewa atuambie

Katika Hotuba yake aliyoitoa Kwenye kilele cha Simba Day, Bwana MO, Ameanza na kumshukuru Rais Samia, kwamba anamshukuru sana Rais Samia, tena kwa kurudia rusia mara kadhaa, hii ilikuwa kabla ya Rais kupiga simu.

Ni wazi kabisa kwamba , Kushukuru ni jambo Jema sana, Binadamu yeyote asiye na shukrani huyo ni sawa na mtu mfu.

Lakini ni vema shukrani hizo ziwe kwa sababu fulani, sasa unaposema tu kwamba Unamshukuru Rais Samia bila hata kusema Unamshukuru kwa jambo gani ni lazima tukushangae, na wakati mwingine tutadhani labda Unamshukuru kwa hii Pumzi tunayoipata, maana huwezi kumshukuru Binadamu hivihivi tu.

Labda kama kuna aliyesikia Rais anashukuriwa kwenye nini basi Atuambie
Siyo kila kitu uelewe mambo mengine yaache yakupite
 
Ila mo sijui amedeka sana au hajui kiswahili vizuri mbona kama dish limecheza kidogo. Umshukuru samia bila sababu yoyote, uitambulishe familia yako nzima siku ya simba day! Vinahusiana vp, mi sijaona
 
namtumtambulisha dadaangu Mkubwa kutoka Mombasa, nadhani MO alikuwa kawaka, kala vyombo
 
Katika Hotuba yake aliyoitoa Kwenye kilele cha Simba Day, Bwana MO, Ameanza na kumshukuru Rais Samia, kwamba anamshukuru sana Rais Samia, tena kwa kurudia rusia mara kadhaa, hii ilikuwa kabla ya Rais kupiga simu.

Ni wazi kabisa kwamba , Kushukuru ni jambo Jema sana, Binadamu yeyote asiye na shukrani huyo ni sawa na mtu mfu.

Lakini ni vema shukrani hizo ziwe kwa sababu fulani, sasa unaposema tu kwamba Unamshukuru Rais Samia bila hata kusema Unamshukuru kwa jambo gani ni lazima tukushangae, na wakati mwingine tutadhani labda Unamshukuru kwa hii Pumzi tunayoipata, maana huwezi kumshukuru Binadamu hivihivi tu.

Labda kama kuna aliyesikia Rais anashukuriwa kwenye nini basi Atuambie
Ni utamaduni tu wala kuumiza kichwa kujiuliza kamshukuru rais kwa kitu gani
Hata mvua ikinyesha unamshukuru Mungu then rais Samia
 
Katika Hotuba yake aliyoitoa Kwenye kilele cha Simba Day, Bwana MO, Ameanza na kumshukuru Rais Samia, kwamba anamshukuru sana Rais Samia, tena kwa kurudia rusia mara kadhaa, hii ilikuwa kabla ya Rais kupiga simu.

Ni wazi kabisa kwamba , Kushukuru ni jambo Jema sana, Binadamu yeyote asiye na shukrani huyo ni sawa na mtu mfu.

Lakini ni vema shukrani hizo ziwe kwa sababu fulani, sasa unaposema tu kwamba Unamshukuru Rais Samia bila hata kusema Unamshukuru kwa jambo gani ni lazima tukushangae, na wakati mwingine tutadhani labda Unamshukuru kwa hii Pumzi tunayoipata, maana huwezi kumshukuru Binadamu hivihivi tu.

Labda kama kuna aliyesikia Rais anashukuriwa kwenye nini basi Atuambie
Offsetting ICD to railway business
 
Kuna Mashamba yake fulani fulani yalichukuliwa na Mali zake kadhaa kuwa Hatarini hadi akaamua asiwe anakaa nchini na kuhamia Dubai mara Ufaransa na Uingereza, ila alipokubali Kuimba nao Nyimbo Moja na kuahidi kutoa Mchango wa Saidia Chama kishinde mwakani na Aliyemshukuru aendelee kuwepo ndipo Mambo yake yaliyowekewa Ugumu nayo Kulegezwa na sasa unaona hata Mwili unaanza kurudi, Nuru na Furaha vikionekana. Sitaki hapa Swali tafadhali.
 
Mwaka wa jana siku kama ya leo, alimuahidi eti agemletea kombe la klabu bingwa Afrika! Mwisho wa siku akangukia pua.
 
Samia anatafutiwa platform ili kujaribu kupenyeza ushawishi kuelekea 2025

Hii ni kwasabu hayupo mwanasiasa yeyote kwa wakati huu ktk nchi hii mwenye ushawishi wa kupata assembly ya watu idadi hiyo tena waje kwa wakiwa wamejilipia wenyewe.

Hata na wao wanafahamu fika Samia hawezi kupata mwitikio huo kwasabu watu wamepoteza interest na Siasa..

Eneo pekee lililobaki na ushawishi ni burudani kwa maana ya soka na Dini baas
 
Katika Hotuba yake aliyoitoa Kwenye kilele cha Simba Day, Bwana MO, Ameanza na kumshukuru Rais Samia, kwamba anamshukuru sana Rais Samia, tena kwa kurudia rusia mara kadhaa, hii ilikuwa kabla ya Rais kupiga simu.

Ni wazi kabisa kwamba , Kushukuru ni jambo Jema sana, Binadamu yeyote asiye na shukrani huyo ni sawa na mtu mfu.

Lakini ni vema shukrani hizo ziwe kwa sababu fulani, sasa unaposema tu kwamba Unamshukuru Rais Samia bila hata kusema Unamshukuru kwa jambo gani ni lazima tukushangae, na wakati mwingine tutadhani labda Unamshukuru kwa hii Pumzi tunayoipata, maana huwezi kumshukuru Binadamu hivihivi tu.

Labda kama kuna aliyesikia Rais anashukuriwa kwenye nini basi Atuambie
Ukiwa ni mfanyabiashara, hutokea mara nyingi kupewa ahueni kwa msaada fulani wa Mkuuu wa nchi. Iwe kwenye manunuzi au kwa namna nyingine yoyote.

Kuna mwanasiasa mmoja maarufu ambaye pia ni mfanyabiashara, kwa kauli ya Rais aliweza kurejeshewa akaunti zake za benki na pesa zake zilizokuwa zikishikiliwa na TRA.

Pia, mwanasiasa huyo wa upinzani kwa kauli ya mkuu wa nchi, alilipwa madeni yake. Hoteli zake zilikuwa zikiidai taasisi ya serikali ya usafirishaji na awali aliwekewa ngumu kulipwa.

Hata yeye alikuwa akimshukuru na kumsifu mkuu wa nchi.

Ova
 
Aiseeee!
 
Back
Top Bottom