Mohamed dewji atunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA)

Mohamed dewji atunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA)

tatamajuva

Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
74
Reaction score
84
Huyo no Rais wa heshima wa Simba ambaye atajulikana Kama Dr Mohamed dewji baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA)
Huyu jamaaa ni hatari kwani ametoa hotuba ambayo imewafanya wanachuo na dunia nzima kuamini kuwa huyu ni msomi mbobevu.
Dr mo dewji Ana kipaji Cha hali ya juu Sana, ndiyo maana hapendi kuropoka hovyo Kama yule jamaa wa upande wa pili.
 
Back
Top Bottom