Mohamed Dewji(MO) aachia simba ijiendeshe

Mohamed Dewji(MO) aachia simba ijiendeshe

hhhhj

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
41
Reaction score
68
BREAKING NEWS
Hatimae mohamed dewji(mo) amekubali kuiacha simba ijiendeshe yenyewe ili kutimiza agizo la baraza la michezo....

Hata hivyo itawabidi ungozi wa simba kuitisha mkutano maalumu wa katiba ili kuruhusu mfumo huo utambulike rasmi katika katiba yao.Pamoja na hayo timu itaendelea kuwa chini ya uongozi wa raisi aveva mpaka hapo itakapo kaa vizuri ili timu irudishwe tena kwa mo

Sourse:mwanaspoti
 
kwa kipind cha nyuma hapa mo alikuwa analipa mshahara mwenyewe wachezaji
 
hapo ndio mnyama atakapo fungua matawi na kufika mbali zaid kuliko kuendesha timu kwa kutawaliwa na wageni uhuru maanake nn
 
BREAKING NEWS
Hatimae mohamed dewji(mo) amekubali kuiacha simba ijiendeshe yenyewe ili kutimiza agizo la baraza la michezo....

Hata hivyo itawabidi ungozi wa simba kuitisha mkutano maalumu wa katiba ili kuruhusu mfumo huo utambulike rasmi katika katiba yao.Pamoja na hayo timu itaendelea kuwa chini ya uongozi wa raisi aveva mpaka hapo itakapo kaa vizuri ili timu irudishwe tena kwa mo

Sourse:mwanaspoti
Uanajiotesha...eti source Mwanaspoti ili vilaza kufuatilie..umeandika mwenyewe.. unaonesha uliwahi kukosa chanjo muhimu zinazotolewa utotoni kama pepopunda..kifaduro nk bila kusahau inawezekana unyafunzi uliwahi kupiga hapo
 
Source umesema mwanaspoti..tupia picha LA gazeti tujue LA lin na nani kaongea ayo.vinginevyo thread yako yakikuda.
 
*BREAKING NEWS*
_*Manji aachia ngazi na kukwea pipa kwenda Marekani kupumzika*_

Na Baraka Mbolembole
Baada ya serikali kusitisha mpango wa kubadili mfumo kwenye club za yanga na SIMBA, mwenyekiti wa Yanga Yussuph Manji ameandika barua ya kujiuzuru usiku huu na kuiacha ofisini kisha kukwea pipa kwenda Marekani kwa mapumziko Huku akisisitiza deni lake lililoongezeka paka billion 12.
Taarifa kamili zitakujia kesho, kupata habari zaidi hapo kesho tembelea tovuti yetu.
 
Wamatopeni mmekonda ghafla? Hans na genge lake hawawezi muachia Mo timu kwani wana maslahi nayo.
 
Wana wivu na simba japo sio mshabiki wa mpira wa nchi hii ila kwa simba serikali ikiwekeza tunapata timu ya taifa yenye nguvu yanga chenga tu simba ina bahat ya kupata vijana wanocheza mpira wa kuvutia tofaut na mtani wake lakin wakiamua hayo timu ya taifa tz haipo kamwe
 
Back
Top Bottom