Simba ilikepo kabla hamjazaliwa na itakuepo hata mkiondoka ..wengine wataikutaHuo ndo mwisho wa simba..na nyodo zote kwishnei
Uanajiotesha...eti source Mwanaspoti ili vilaza kufuatilie..umeandika mwenyewe.. unaonesha uliwahi kukosa chanjo muhimu zinazotolewa utotoni kama pepopunda..kifaduro nk bila kusahau inawezekana unyafunzi uliwahi kupiga hapoBREAKING NEWS
Hatimae mohamed dewji(mo) amekubali kuiacha simba ijiendeshe yenyewe ili kutimiza agizo la baraza la michezo....
Hata hivyo itawabidi ungozi wa simba kuitisha mkutano maalumu wa katiba ili kuruhusu mfumo huo utambulike rasmi katika katiba yao.Pamoja na hayo timu itaendelea kuwa chini ya uongozi wa raisi aveva mpaka hapo itakapo kaa vizuri ili timu irudishwe tena kwa mo
Sourse:mwanaspoti
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kichwa cha habar n maelezo tofauti,bila shaka utakua umesoma gazet l sani
kuwepo si tatizo tatizo kuwa timu ya hovyohovyo yaani wa matopeniSimba ilikepo kabla hamjazaliwa na itakuepo hata mkiondoka ..wengine wataikuta
Ndo nashangaa hata Mimi...!! Mwanaspoti zote nazisoma j3 mpaka jmosi. Mleta mada atakuwa ni Mwigulu tu.acha uongo wako, ni mwanaspoti ya mwaka gani?