Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Utulivu wa watanzania,wameuchukulia kama ni mazwazwa.
 
Hili la kupatikana kwa MO ni uthibitisho mwingine wa wazi kabisa kwamba Mungu ana nguvu kubwa na hajawahi kushindwa na shetani , ni uthibitisho wa wazi kwamba kama tukiendelea kumtegemea Mungu watu wa wabaya ni wepesi na tutawashinda .

Asanteni watanzania kwa kupiga kelele bila kuchoka , asanteni watanzania kwa kukemea waovu na hatimaye MO amerejeshwa kwa shingo upande , Hakika Nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu .
 
Kweli tajiri ni tajiri tu, Roma ametekwa kachezea kichapo na akatupwa barabarani akaokotwa na bajaji... Nondo katekwa kapelekwa iringankatupwa kwenye mashambo ila Mo ametekwa kapewa chakula kwa kulazimishwa alafu amerudishwa na gari lililo mteka na kapewa simu awapigie nyumbani waje.. Wameona ile 1B asipate mwingine
 
Hakuna mtanzania mwenye vijisenti anakaekuwa salama tena "BIASHARA YA RANSOM NI UNAINGIZA MTAJI KIDIGO MALIPO MAKUBWA SANA"
 
Simu aliitupa pale colloseum alipotekwa...je alitumia simu ya nani kuipigia familia usiku ije kumchukua gymkhana?
 
Hiki ndicho alichokisema Mohammed Dewji baada ya kurudi uraiani/nyumbani.
View attachment 904240

VIDEO:
Unafiki huwa ni rahisi san kuumbuka, Mo sasa siku saba tu karudi kashakuwa Shetani.

Hivi Mo amepatikana kwa juhudi za polisi au watekaji wameamua tu kumrudisha??
Kama ni nguvu za polisi wamemkuta akiwa kashikilia wapi?? Mbona mambo sasa hasemi, abadai tu karudi salama.
 
very true .
 
"Mo ana bastora lakini siku ile hakuibeba"
Jiulize kwanza, kwa nini hakwenda hospitali akaenda nyumbani moja kwa moja tena kwa furaha? Huyu ni mtu aliyechukuliwa mateka zaidi ya wiki, huu ni usanii 100% hawa Wahindi wanawachezea tu, ...
Nangoja wajuzi wa sheria nadhani wanafungua vipengele na mara paaap wamevileta kwa kiingereza!!!!!!
 
Huyo Lissu tayari ameshashambuliwa,hana cha kupoteza!Huyu Dewji aliwekwa chemba!Hujui ametishwa nini huko alikokuwa!Hivi suala la Zakaria lisinge bumbuluka,si tungejua ametekwa na mwahuni kumbe ni usalama walikuwa wameendq kumteka!!!!
Kuhusu kafanya nini,na kwamba kama kafanya jambo baya ni haki yake!Nikwambie tu nchi hii tumekubali kuendeshwa na mfumo wa sheria!Na katiba na sheria zinataka kila mtenda jinai afikishwe mahakamani na vyombo husika na aface trial!Mahakama ndio itaamua hukumu yake!Hilo la kusema ni haki yake,si utaratibu wetu wa kisheria!Ni uhuni!Na suala hili ni kinyume na sheria maana kama tutaruhusu haya,kuna hatari watawala kutumia mwanya huo kuangamiza wapinzani wao!!!!!!Period!
 
Movie zote za Uonevu zinazoratibiwa na akina Le mutuz, Msiba, jerry muro polepole na Bashite kwa sasa zitaendelea kufeli kwani watanzania wana uchungu na matumizi mabaya ya pesa zao za walipa kodi kutumika kwa Mambo yasiyo na Tija kwa Taifa.
 
Tofutisha utekaji wa kisiasa ili.upeleke.ujumbe na Biashara ya RANSOM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…