Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
siyo wote wana bando.
wengine tunatumia freebasics
wengine tunatumia freebasics
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utulivu wa watanzania,wameuchukulia kama ni mazwazwa.Natamani atokee mtu mwenye kujiamini atakaehoji kwa undani na polisi watupe majibu. Waelewe kwamba kwa sasa watanzania hasa tuishio mijini tuna uelewa mkubwa wasituone mazwazwa. Halafu kwa nini wanaitaga press conmference wanaongea wao wasimuache alietekwa aelezee kilichojiri? Pale mambosasa aongea sauti ina shake kabisa, mjue unawaangalia tuu nyie polisi ipo siku kutumika kwenu kutawafanya vibaya. Kipindi kile Cha Roma msemaji wa press conmference akawa Mwakyembe what the hell do you think?? kwamba sisi ni mazwazwa hatujui mnayoyafanya?? Shame on you All
Tangu lini jiwe afikishwe mahakamani
Simu aliitupa pale colloseum alipotekwa...je alitumia simu ya nani kuipigia familia usiku ije kumchukua gymkhana?Kuna mengi sana ya kujiuliza licha ya kupatikana kwake, alkuwa eneo gani kwa hapa Dar? Alkuwa na akinani hao watekaji? Je hao watekaji bado wapo nchini au wameishatoroka?? Je walioenda kumtupa huko Gymkhana walijiamini nini wakati polisi usiku huwa wanapiga patrol? Hawakuogopa movement za watu, coz in Dar people move 24/7 ?? Je baada kutupwa huko alifikaje nyumbani kwake bila kwenda polisi kutoa taarifa au kuomba msaada? ?
Tukijibiwa hayo maswali, tutaacha kuishuku taasisi flani
Kwenye patrol na ulinzi mkali,waliona uswahili kuna vibaka angedhulika labdaHaha hii kali aisee na bado wakaenda kumuacha gymkhana! Huu mfumo huu!
very true .Nasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)
Bila kelele za zittohahahahaha zitto ana harisha uko kiki imepotea sasa sijui atapata wapi nyingine?
Kwa nini awashukuru Mbowe na Lema kwani ndio waliomteka.Ulitaka wamshukuru Mbowe au Lema?
"Mo ana bastora lakini siku ile hakuibeba"
Nangoja wajuzi wa sheria nadhani wanafungua vipengele na mara paaap wamevileta kwa kiingereza!!!!!!Jiulize kwanza, kwa nini hakwenda hospitali akaenda nyumbani moja kwa moja tena kwa furaha? Huyu ni mtu aliyechukuliwa mateka zaidi ya wiki, huu ni usanii 100% hawa Wahindi wanawachezea tu, ...
Huyo Lissu tayari ameshashambuliwa,hana cha kupoteza!Huyu Dewji aliwekwa chemba!Hujui ametishwa nini huko alikokuwa!Hivi suala la Zakaria lisinge bumbuluka,si tungejua ametekwa na mwahuni kumbe ni usalama walikuwa wameendq kumteka!!!!Hivi unaposema katekwa na serikali ni kufikiri ''nje ya box'' ehe!!! Yaonyesha msemo unausikia tu lakini hta maana huijui. Kama alikuwa na matatizo na serikali ambayo yanamfanya hata aogope kuzungumza ukweli basi huyo ni mtu hatari sana na alistahili kupatwa na yaliyompata. Atakuwa na kosa gani mpake aogope kuuweka ukweli hadharani? Na kama anaogopa bado kuna alternative ya kuhamia nchi nyingine ili apate kuzungumza ukweli! Lisu alishambuliwa kwa risasi na bado hakuogopa kuweka feelings zake hadharani!
Chadema imesheheni mataahira.Chadema imesheheni hazina kubwa sana....
Hahaha mbavu zangu mie! Eti kwenye maturubai uwani du!Na yule Lema wao sijui kajificha wapi? Ilikuwa aongee na waandishi wa habari leo kwenye maturubai kule uani makao makuu ufipa.
Tofutisha utekaji wa kisiasa ili.upeleke.ujumbe na Biashara ya RANSOMKweli tajiri ni tajiri tu, Roma ametekwa kachezea kichapo na akatupwa barabarani akaokotwa na bajaji... Nondo katekwa kapelekwa iringankatupwa kwenye mashambo ila Mo ametekwa kapewa chakula kwa kulazimishwa alafu amerudishwa na gari lililo mteka na kapewa simu awapigie nyumbani waje.. Wameona ile 1B asipate mwingine