minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Unauhakika na unachosema?
Wewe upo ghetto kwa Le mutuz? au ghetto kwa cyprian Musiba? Maana maswali yako yanafanana na Akili za hao watu wabaya kwa usitawi wa Amani ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika na unachosema?
Acha vijana wa Ufipa waendelee kuwatukuza vichaa wenzao mkuu, acha waendelee kupiga siasa kwenye maisha ya watu maana sera hawana tena, acha waendelee kupoteza nyakati kwenye mambo ya kitaalam ambayo hawayajui na hawataki kuambiwa hawajuiYaani kelele za Lema ziwe msingi wa kupatikana Dewji lakini kelele hizo hizo zisiweze kumleta Ben Saanane? You must be joking!
Nani mwenye uhusiano wa karibu kikazi na kimaisha kati ya Lema na Ben Saanene au Dewji?
Kumbuka Ben Saanane alikuwa mfanyakazi wa CHADEMA
Ulichofanya ni kutoa shukrani ambazo hazina hata ukweli kifikra!
Ile press ya jana ilikuwa na viashiria kama vile Mo yupo around.
Acha bangiwisho utavua nguoMzuqaaaa!
Anajulikana mwamba wa kaskazini akitamka kitu kinatetemesha laana siyo mwengine bali
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
GODBLESS JONATHAN LEMA
Ilibidi wasande maamae jamaa aliposema leo ataitisha press. Wakakaa nakuafikia nakukubaliana wamtoe faster Mo wetu kabla Mic lukuki za kitaifa na kimataifa zikimzunguka meza idpokua za tbc.
Walishapiga mahesabu hapa hii press ya pili ya mwamba wa kaskazini itatuweka pabaya kwasababu zile nondo na madini Godlesa angeshusha.
Hakuna kuwachekeachekea tena.
Mods pleaseaaa msiunganishe uz wangu
Nashauri hawa watekaji watumie makampuni makubwa ya hollywood kuandika script na kutengeneza movie zao maana haya ya hapa Rj,jerusalem,mtitu film,sultan tamba,Gambo zagamba n.k wamewaangusha..!
Wewe mtekaji anasahau plate namba kwenye gari? Si ni sawa na jambazi anaenda kuvamia nyumba anafika anavua viatu mlangoni..![emoji16][emoji23]
Naona wajinga tunapoteza muda kujadili kitu ambacho hatuwezi kuleta effect yoyote
HILI NALO LITAPITA TU