Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Unauhakika na unachosema?

Wewe upo ghetto kwa Le mutuz? au ghetto kwa cyprian Musiba? Maana maswali yako yanafanana na Akili za hao watu wabaya kwa usitawi wa Amani ya Tanzania.
 
Du afadhali! sasa tunategemea manunuzi ya wapinzani yataendelea, dalili zinaonyesha wamempa Jiwe na Bashite wanachotaka.
 
JANA WALITUONYESHA HIYO GARI INAPIGWA JEKI.....KUMBE NDO WALIKUA WANAJIANDAA KUMRUDISHA ....
 
Nashauri hawa watekaji watumie makampuni makubwa ya hollywood kuandika script na kutengeneza movie zao maana haya ya hapa Rj,jerusalem,mtitu film,sultan tamba,Gambo zagamba n.k wamewaangusha..!
Wewe mtekaji anasahau plate namba kwenye gari? Si ni sawa na jambazi anaenda kuvamia nyumba anafika anavua viatu mlangoni..![emoji16][emoji23]
 
Acha vijana wa Ufipa waendelee kuwatukuza vichaa wenzao mkuu, acha waendelee kupiga siasa kwenye maisha ya watu maana sera hawana tena, acha waendelee kupoteza nyakati kwenye mambo ya kitaalam ambayo hawayajui na hawataki kuambiwa hawajui
 
“Namshukuru Mungu nimemkuta Mo akiwa salama na haraka nilimpeleka nyumbani lakini tumemkuta ana majeraha kidogo ila jambo la kushukuru ni kwamba yuko hai,” amesema Gullam.
 
Ile press ya jana ilikuwa na viashiria kama vile Mo yupo around.

Pia wapambe wa Bashite leo walipgopa kwenda Disco akina Le mutuz alijua leo ni weekend na hupenda kuzurula usiku kwenye kumbi za Disco na bar akajua ataulizwa alipo MO ndipo wakakurupuka na kumwachia free ili wapate kula bata bila kwere, lakini tunawaomba watanzania popote wamuonapo Le mutuz wamzomee na kumnyoshea vidole mpaka apatee kujua kuwa watanzania wamechoka na unyama wao.
 
Acha bangiwisho utavua nguo
 
Naona wajinga tunapoteza muda kujadili kitu ambacho hatuwezi kuleta effect yoyote

HILI NALO LITAPITA TU
 

Watengeneza Movie ni Kubwa jinga Le mutuz, Msiba na boss wao Bashite watu wasiojielewa unategemea nini?
 
Naona wajinga tunapoteza muda kujadili kitu ambacho hatuwezi kuleta effect yoyote

HILI NALO LITAPITA TU

Tujadili ili hao watekaji wajue kuwa watanzania hawataki tena Sinema za kihindi wanataka viwanda na maendeleo pekee.
 
Wasiojulikana Bullshit hakuna kitu kama hicho hawa wahuni ni mamluki kutoka ( polisi TISS na JWTZ ) = genge la bashite , walijuaje kama amerudishwa na gari lilelile lililomteka ? , yaani walishatuona wabongo sisi ni mazwazwa ,shenzi sana
 
Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…