Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kwa maana iyo watekaji bado wapo ndani ya dar, polisi ifanye juhudi kuwabaini.
 
Serikali kupitia wizara ya Mambo ya ndani, hongereni kwa Jitihada zenu. Cjui watekaji watakamatwa pia au ndo automatically kesi imeisha kwa kuwa aliye tekwa amepatikana.
 
Hizi ishu ni serikali always ndo huwa wanahusika hebu fikiria ishu ya Ulimboka na Roma , ulishawasikia wameexpose aliyewateka ?
 
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya hiki kitu. Umenena vema kabisa mkuu
Hivi huyu waziri alivyotekwa tu alikuwa wa kwanza kutuambia kaongea na babake, leo usiku huu ni yeye kawa wa kwanza kutuambia kaongea nae! Mo hakuwa kwa mjomba wake ati yuko nyumbani kwake salama! Alitakiwa awe kituo cha police kuisaidia maelezo, then hosipitali then jeshi lireport yuko salama. Huwezi kutoweka, au kotoweshwa then ukarudi au kurudishwa nyumbani ikaishia hapo. Ngoja kukuche.
 
Jipeni pole wiki hii kuna uwezekano kusiwe na tukio la kudandia. Mnazidi kupotea, akili ikija wakaa sawa 2020 oktoba iko kwenye kona.
WanaFISIEM walikuwa kimya!!!, Wanajua matukio haya yanapangwa wapi, si katibu mkuu si mwenezi aliyesema neno, wote waliufyata mkia.
 
Yani Mimi nikupe trillion 2 (nusu ya jasho na utajiri wangu) kwa dhuluma hivi hivi tu bora uniue tu....heko watanzania kwa kuonesha umoja
 
Kwa mtu mwenye HEKIMA na BUSARA ni jambo la kiungwana kutoa pongezi kwa wale wote waliopaza sauti na pia bila kuwasahau wote waliosaidia mpaka Mfanyabiashara Mo Dewji Akapatikana.

Kama kuna watu wameweza kujitokeza hadharani na kupaza sauti kuhusu jambo hili wewe umeshindwa basi kama una hekima na busara ilikupasa kuwapongeza watu hao.
Na hata wale waliopata msukumo wa kujituma katika jambo hili baada ya kusikia lile dau la Bil 1 pongezi kwenu pia.

Ahsanteni!
 
Vijana bangi mnavutiaga chooni au mtoni, kila kitu mnajua na ndio maana mmeishia kuwa mahohehahe maana mnahangaika na msiyoyajua wala kuw na ufaham nayo
We msenge bangi alivuta mama yako na baba yako ndo maana wakazaa punga kama wewe , nyang'au mkubwa wewe
 
Imebainika kuwa watekaji wa MO walikuwa wakimlazimisha kula pale alipokataa kula na walimpa kila alichohitaji, pia imebainika kuwa watekaji hao walikuwa wakihitaji fedha kutoka katika familia yake! Hayo ni kwa mujibu wa kamanda Mambosasa alipokuwa akitoa taarifa mara baada ya MO kuwaeleza kilichomsibu!

Haijulikani ni kiasi gani hao watekaji walihitaji na pia bado haijabainika kama endapo familia ya MO imetoa fedha hizo au la!

Mytake;Hili suala la MO bado nyuma yake kuna kiza kinene na kwa hili hao "wasiojulikana" wasipowekwa wazi mbele ya umma basi ni dhahiri kuwa wataendelea kuwa na kiburi na kutekeleza matendo ya kiuhalifu zaidi! Ni vyema hili genge likasambaratishwa ili watu waweze kufanya shughuli zao bila kuwa na hofu! Hatujui ni nani atafuata na atafanywa nini...
Mkuu usiumize kichwa kwa maswali,aliyemteka MO wanajulikana ni WAzungu wanaoongea kizulu wanatokea Msumbiji walitumia gari lenye namba AGX MC
 
Tweet ya 03.46 October 20 aisee Mungu ibariki Tanzania waovu washindwe kwa jina lake muumba wa mbingu na nchi mana kutoweka kwa Mo kulikuwa kunaenda kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa
Kuñeshaharibika tayari na rogue element hawakujua impact yake hawa vilaza.
 
Kwanza washkaji hamjambo Shukran zote zimuendeye Mwenyezi Mungu kwa Mo Dewji hadi kuonekana yuko salama salmini .. Jama kaja Amefanana na Mo Salah wa liverpoor ... God is Great .
 
Kila kukicha kulikuwa kukitokea kwenye tweeter, fb, na makundi ya WhatsApp wakilioanisha tukio hili la aibu kwa nchi kama kiki ya kisiasa wakijaribu kulidhalilisha jeshi la polisi na serikali ya awamu ya 5 kana kwamba imeshindwa kulinda amani. Mungu amewaumbua, Mo karibu nyumbani ukiwa Salama salimini
 
Back
Top Bottom