Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mkuu cheki pm yangu
 
Hakuna taasisi yoyote ile point ya msingi mchango wa Raisi ulikua ni upi wakati hajatoa pole wala neno lolote lile la faraja au hata kuamrisha watu wake wampate haraka iwezekanavyo
kuna watu lukuki nyuma ya rais, walifanya kwa niaba yake, narudia "RAIS NI TAASISI"😎😎😎😎
 
Leo hamna na kuongea walahi
Puuuuurreessii confrrrreeenssiii LEEEEMMMMAAA. TIIIIIII AIBU ptuuuuu mate ya uso kwake walahi
Acha kuongea kidemu demu wewe "walahi" ndio nini af umekaa kishabiki sana bila point ya maana
 
Kijamaa kina kamwili kadunchuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwa wale tuliosoma st. Kayumba tunawafahamu wale walimu waliokuwa na tabia ya kuudhi ati akimaliza kukuchapa anakwambia sema ASANTE, na we kishingo upande unasema Asante mwalimu, Teh!
 
Kwahiyo ulitaka gari likamatwe na namba hizo hizo.

Akili za bavicha mnazijua wenyewe.

Kazi nzuri Jeshi la polisi.
mbona hili halina mahali pa kufunga spare tyre? Akili fupi zinawaponza! tazama walipozungushia
 
lini
 
Asante sana kwa taarifa. Ni haki yake kutoa maoni kama ambavyo wengine tunaendelea kutoa maoni. Hizo gharama anazoongelea ni zipi? Au ana mpango wa kuvuka mipaka?

Halafu mkuu jitahidi kuweka title fupi zenye mvuto. Hizi ndefu sana sio poa. Au unaonaje?
 
Lini?? Ongea sasa
Watakimbilia kukupeleka mahakamani hapo ndipo mtakapowanasa mabedhuli hawa
Ongea tu Lema hawa wanawanyamazisha ionekane sirikali haihusikii
Huu mchezo wao ufikie mwisho
Kama mmbwai na iwe mmbwai
 
Lema unajipendekeza tu wala hamna atakayekusikiliza.

Tokea useme ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa alafu baadae wewe mwenyewe tena ukawa mbeba viatu wa Lowasa tulishakupuuza
 
Mnajua ukiweka siasa kila mahali kuna mambo ambayo unaweza usiyaone kwa macho hata yakwa mbele yako;

Kama Mo anagetekwa kisiasa tujue tu kwamba asingerudishwa.Never.
Mo ametekwa kibiashara na waliopanga ni mahasimu wake wa kibaishara kutoka nje ya Tanzania

Sitaki kuweka facts zote hapa kwa sababu bado nafuatilia baadhi ya taarifa ila kwa sasa kama na wewe ni mchinguzi jaribu kufuatilia maamuzi ya kisera yaliyofanyika siku za karibuni na serikali katika kulinda bidhaa za ndani na aina ya bidhaa ambazo MO amenza kuzitengeneza ikiwema bidhaa ambazo market share ilikuwa chini ya wageni kwa muda mrefu na wageni hawa wanajua kuwa hawatweza kushindana na MO kisha uniambie kama sio uhasimu wa kibiashara.

Lengo lao ilikuwa ni kumtisha tu na kumchomoa pesa ila walipoona na siasa zimeingia ndani na limekuwa tukio la kiulimwengu wamesita hasa baada ya kugundua kuwa hata wakimuua MO bado hawataweza kuzuia upepo wa vita unaowajia katika medani za ushindani wa kibiashara.

SO tuache kuweka siasa tujue tu kwamba this was all business nothing personal and nothing political
 
Kila mtu ni nabii wa Maisha yake kajitabiria kulipa gharama ajiandae kulipa gharama unabii wake utatimia pasipo Shaka yoyote hundred percent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…