Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,584
Hahahaaaa bro naona analazimisha awe na kesi lakini wapi yan mi nawaombeni polisi huyu jamaa wa arusha anelazimisha kukamatwa ili na yeye atengeneze vichwa vya habari.kwenye magazeti baada ya kupotea muda mrefu nyie mmkwepeni hata akija kituoni muachieni kituo nyie ondokeni hahahaa maana analazimisha kesi, unajua mugabe kawaambia wabunge wake wote kua kila mmoja lazima ajitahidi ili awe na kesi hata mahakamani ndio sera yao waliozindua juzi..sasa bro hakuna wa kukukamataView attachment 904925
Imani kwa vyombo vya usalama inajengwa na haki .Ushujaa sio kutoa amri bali ni uwezo wa kubeba kweli,haki na uadilifu ktk wajibu.Suala la Mo kutekwa mpaka kupatikana limejaa wasiwasi.Kama MB nitaongea na niko tiyari kulipa gharama kwani mambo haya yakiendelea ni hatari kwa Nchi.
Sitaki kuweka facts zote hapa kwa sababu bado nafuatilia baadhi ya taarifa
Kama mtanzania anamegewa mke kisha anasema ni chuki za kisiasa basi nafikiri ni wajinga kiasi hicho lakini ukweli ni kwamba kwenye swala la MO sijaona Siasa ninachoona ni watu wanaomchukia MO ambao walitaka kufanya tukio then likaenda out of control ikabidi wasepe msalaMbona mnatumia nguvu nyingi kukwepesha ukweli...
Lakini sio mbaya tumewachukulia kama hadithi za kaluma kenge alikataa kwenda shule!! Watz sio wajinga kiasi hicho
Mzee wewe nimekupa mpaka road sign na bado unataka facts zaidi kweli we kipofu.Follow the leadSasa wewe hutaki kuweka facts afu unataka sisi tukupe facts, Kiazi wewe acha upotoshaji
Mzee Nimekupa Lead follow the leadLabda kwanza tungefahamu bidhaa ambazo MO ameanza kuzitengeneza hapahapa Dar hivi karibuni.
Tukifahamu bidhaa hizo ndipo tutaweza kugundua nani ni mshindani wake wa ndani au nje.
Labda kwanza tungefahamu bidhaa ambazo MO ameanza kuzitengeneza hapahapa Dar hivi karibuni.
Tukifahamu bidhaa hizo ndipo tutaweza kugundua nani ni mshindani wake wa ndani au nje.
Yaani wameifyekeleeea mbali.Any way naelewa mods wa JF wana kazi ngumu sanaNaona mada yako ime...fyekelwa mbali imeunganishwa na mada kuu.
Kivipi?Nimeamini kweli wewe una magonjwa mtambuka kama id yako inavosema
Mkuu, ni ngumu sana kumdanganya mtu mzima mmoja tu mwenye akili timamu, hata kwa siku 5 mfululizo, iweje iwe rahisi kuwadanganya waTz Million 40+. Wanaoratibu haya mambo siamini kama hawalijui hili ninachokiona ni kiburi tu kwamba hata wakijua ni "Sisi" watatufanya nini zaidi ya kelele tu.
Kila mtu mwenye akili timam ana maswali mengi kuliko majibu yanayotolewa na waigizaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pamoja mkuuHii sinema tunaoweza kuielewa ni wale ambao tulikuwa tunaangalia Andha Kanoon Avalon bila "subtile" na tulikuwa tunaielewa toka mwanzo mpaka mwisho.