chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Angalia na sikiliza nini Mambosasa anaongea kuhusu gari iliyomtupa MO Gym KhanaGari sio yenyewe mkuu angalia picha vizuri zile za mwanzo na za sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia na sikiliza nini Mambosasa anaongea kuhusu gari iliyomtupa MO Gym KhanaGari sio yenyewe mkuu angalia picha vizuri zile za mwanzo na za sasa.
Watu wazima kufanywa kama watoto wadogo ni jambo la kushangaza.
HAPANA, kumbe yawezekana turudi kwa kina Azori ambao huenda wamehamia kwa wake wengine ili tujiridhishe kuwa nyumba ndogo nazo zinahusika utekaji magumashi.Habarini wana jamvi,Hivi karibuni kabla ya kutekwa MO,kulikuwa na sekeseke la watu kuandamana kwasababu ya huduma duni ya mabasi ya mwendokasi(BRT)
Wakati maandamano hayo yakishikakasi ghafla likaingia sakata la kutekwa MO" watu wakasahau shida za mwendokasi wakawa bize na MO,
Sasa inasemekana "MO"amepatikana tunashukuru kwa kampeni zenu za kumtafuta
Rudini na muendelee kuandamana na kushinikiza kutatua changamoto zilizopo kwenye mwendokasi
Kilichofanyika pengine ni kujaribu kuwatoa kifkra ili kuzima kelele za mwendokasii.
Nawasilisha kwa hisani ya kichwa maji.
Waliogopa baada ya kusikia watu wanajipanga kusoma Alibadiri ndipo Bashite na kikundi chake cha wanaojiita wasiojulikana wakaamu kutengeneza picha ya kishamba kwa kukurupuka kama walivyofanya kule Dodoma ambapo akina Le mutuz na msiba kwa maelekezo ya Bashite walimwamrisha Heri kisanduku ampige Risasi Tundu Lisu kwa papara matokeo yake mungu akamuokoa na kushindwa Lengo lao, tatizo lao hawana ujuzi wa kitaalam juu ya umafia lakini wamejipa Tenda za kufanya Umafia ndiyo maana kila Sinema wanayotengeneza inaharibika.Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.
Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
WAKUU
huo mstar wa mwisho anaosema 'Na shukuru mamlaka zote ikiwemo na jeshi la polisi kuhakikisha NARUDI salama' Mmeuelewa au mnarukaruka tu? Kuna ka ujumbe hapo,
Huna hoja, asiekuwa na lakujibu hoja huwa anaporomosha matusi badala ya kujibu hojaHuna akili.
Ni kweli.. Amewashukuru walio mteka..Kutokana na madhila ya kutekwa aliyoyapitia mfanyabiashara kijana na mwana ccm kindakindaki MO Dewji ,kama kawaida chama cha kudandia matukio chadema wakiongozwa na Mange Kimambi walianza kuwapotosha wananchi kuwa serikali ndiyo inahusika na utekaji wa Mo !
Pamoja na kwamba kuna kila aina ya ushahidi wa Kubenea na Komu wakipanga utekaji wa meya wa Chadema ,lakini bado Chadema hao hao wangeilaumu na kuihusisha serikali!
Leo baada ya kupatikana Mo Dewji neno lake la kwanza ameanza kwa kumshukuru Mh Rais, jeshi la polisi na wananchi kwa ujumla kumuombea muda wote bila kuchoka mpaka amepatikana akiwa salama.
Kitendo hiki cha Mo kumshukuru rais kimewaumiza mno Chadema na wanaona kiki yao sasa inabuma na kuwaacha wazi mbele ya macho ya watanzania.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Bahkresa jiandae
Wajinga nyiehahahahaha zitto ana harisha uko kiki imepotea sasa sijui atapata wapi nyingine?