herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
KWANZA KABISA KAMSHUKURU JIWE.........Mo anamshukuru sana Rais na Jeshi la polisi kwa kufanikiwa "kumuokota" Gymkhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWANZA KABISA KAMSHUKURU JIWE.........Mo anamshukuru sana Rais na Jeshi la polisi kwa kufanikiwa "kumuokota" Gymkhana.
🚮Kwanza washkaji hamjambo Shukran zote zimuendeye Mwenyezi Mungu kwa Mo Dewji hadi kuonekana yuko salama salmini .. Jama kaja Amefanana na Mo Salah wa liverpoor ... God is Great .
Fala sana huyu kamandaIGP SIRRO AZUNGUMZIA KUPATIKANA KWA 'MO DEWJI'
KUFUATIA kupatikana kwa Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji 'MO' ambaye amepatikana usiku wa kuamkia Leo katika viwanja vya Gymkhana, IGP Simon Sirro amefika katika viwanja hivyo na kuzungumza na waandishi wa habari.
"Ni kweli mtandao tulikuwa tunaujua,ni wapi plan imefanyikia, wameondoka kwenye nchi yao wamekuja hapa tunajua,mazingira yote kama nilivyokuwa nimeeleza,picha ya gari ni ileile,namba za gari ni zile zile".IGP Simon Sirro-OKTOBA 20,2018.
"Hili zoezi limekwenda vizuri, kwa kweli kama wangechelewa tungewakamata,na kama nilivyosema kuwakamata kwangu kungekuwa kwa aina yake, hii ni Tanzania, wanapojaribu kuja Tanzania kufanya mambo ya ovyo wanafikiri ni nchi ya mchezo.IGP Simon Sirro-OKTOBA 20,2018.
"Niombe haya matukio siku zote yatusaidie kutuunganisha pamoja, yatufanye tuwe watu wamoja matukio ya namna hii yanapotokea yasitugawanye".IGP Simon Sirro-OKTOBA 20,2018
"Kuna watu wachache, kikundi cha watu wachache, ambacho wanajaribu sana kujenga uadui na majeshi yetu,mimi sijui wanatumwa na nani Jeshi la polisi likifanya kazi zao wanaingia... ukijenga uadui na majeshi yetu siku ya siku usije ukalaumu".IGP Simon Sirro-OKTOBA 20,2018.
"Kuna watu wachache sijui nia yao ni nini matukio mengi yakifanyika, ni kujaribu kufanya wao ndio wanatufundisha, wao ndio wapelelezi wa kwanza wao ndio wanajua kila kitu...".IGP Simon Sirro-OKTOBA 20,2018.
"Hii gari iliyotelekezwa hapa na Mo akawa ameachiwa sijamuona ila wanasema amekuwa ni mnyonge sana, lakini ameeleza kwamba watu hawa walikuwa wanataka fedha, fedha kiasi gani hawakusema, lakini anasema walikuwa wana wasiwasi, wanahoji wakiwa wana wasiwasi wakiwa na silaha zao".IGP Simon Sirro-OKTOBA 20,2018.
IGP Sirro amesema waliomteka MO walikuwa wanataka pesa kutoka kwake na walipomuomba akawapa simu waongee na Baba yake mzazi lakini watekaji hao walikataa.
IGP Sirro pia ameendelea kuelezea
''Hili gari walitaka kujaribu kutaka kulichoma ili wapoteze ushahidi lakini nadhani walikuwa na hofu juu ya hilo hawakufanikiwa.
Kwenye gari tumekuta silaha za kivita kama AK47, 'Sub-machine gun' na Bastola 3. AK47 ikiwa na risasi 19 na risasi 16 za Bastola.
Kuna kikundi cha watu wachache wanajenga uadui na Jeshi la Polisi, kujenga uadui na majeshi yetu Polisi wakifanya kazi zao wanaingilia, ukijenga uadui na Polisi siku ya siku uje kulaumu.
Nyinyi ni mashahidi jana nimezungumzia hii press nikiwa na uhakika lakini kuna watu wachache ambao sijui nia yao ni nini?, tukijaribu kufanya wao wanatufundisha"
Nyonko nyonkooToday I want to report to the Tanzanians and to the World that we have got MO back safely .Thanks to the IGP who worked tirelessly to make this possible.
Kweli aiseeKwanza washkaji hamjambo Shukran zote zimuendeye Mwenyezi Mungu kwa Mo Dewji hadi kuonekana yuko salama salmini .. Jama kaja Amefanana na Mo Salah wa liverpoor ... God is Great .
Kiki mliyo itafuta imebuma.Hili ni moja ya swali ninalojiuluza maana sielewi Mkulu kaingiaje hapa.
Hii maana yake ni kuwa walikaa chini na kuandaa movie nzima ya kumrudisha uraini na ni wazi atakaa kimya na hata kama akiongea basi hatongea la maana na habari itakuwa imeishia hapo.
Hili ni moja ya swali ninalojiuluza maana sielewi Mkulu kaingiaje hapa.
Hii maana yake ni kuwa wa
Umetoka kuvuta bangiHili ni moja ya swali ninalojiuluza maana sielewi Mkulu kaingiaje hapa.
Hii maana yake ni kuwa walikaa chini na kuandaa movie nzima ya kumrudisha uraini na ni wazi atakaa kimya na hata kama akiongea basi hatongea la maana na habari itakuwa imeishia hapo.
Mtaimba nyimbo zote mtazimaliza na viunu vitakatwa sana enzi hizi. Muhimu watoeni mashaka wadanganyika wasiendelee kuhojihoji!Inawezekana la ben saanane wanalijua wenyewe chadema..kumbuka mbowe alishasema lisiongelewe..wakati la mo wameliongelea
Mfa maji haishi kutapatapa,kwa sasa wanasubiri tukio jingine ili wapate raw materials za viwanda vyaoHakuna nchi yenye wanasiasa uchwara kama Tanzania. Naapa uongozi wa upinzani tulionao ni pangu pakavu tia mchuzi. Wameishiwa hoja wanaokoteza kila takataka wanayoona mbele yao. Ni watu wa hatari sana kuongoza Tanzania hata kwa dakika tano. Nimeanza kuona umuhimu wa kuhakikisha hawashindi hata jimbo moja kwenye uchaguzi.
We ndio jinga kweli wewe..kwani mlichoonyeshwa jana ni picha ya cctv au picha ya gari?? We hujui kutofautisha..?Mtaimba nyimbo zote mtazimaliza na viunu vitakatwa sana enzi hizi. Muhimu watoeni mashaka wadanganyika wasiendelee kuhojihoji!
1. Gari la jana side mirror hazikuwa na alama ila number plate zilikuwapo!!
2. Leo number plate fake ila vioo vimewekwa alama!?
3. Baada ya changamoto za Wahe. Zitto na Lema kwanini majibu yamepatikana upesi?
4. Kwanini makada wa Chama pendwa walikuwa kimya muda wote?
5. Majibu, vitisho na porojo havisaidii nchi yetu bali weledi unahitajika sana ili watanzania tusiwe mazwazwa wapumbavu kama inavyodhaniwa.
Tanzania ni nchi yetu tunapaswa kuwa na watu makini na wastaarabu kushindana na upuuzi mwingi unaofanywa na wasioitakia mema nchi huku wakijiita wao ndio wazalendo kuliko wengine!!! Ukiona matukio tata yanajitokeza watu hawawajibiki (husikii watu wanajiuzulu tambua uchu wa madaraka umekomaa) Hii ni nchi yetu sote na sote tunapaswa kuilinda na kuipenda. Lugha za vitisho na kushindana na watu wenye upeo wa kuhoji hakutasaidia kuvuka bali kutawaaibisha wasiowajibika katika majukumu waliyopewa.
Mungu ibariki Tanzania
Unakumbuka sakata la Peter Zakaria wa Tarime?? Rc alikiri hadharani kuwa wale watekaji ni watu waoHizi hadithi za kutunga...tupe uthibitisho