Mbona bakhresa kaanzisha yake azam, na yeye akaanzishe ya kwakeUsije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.
Yeye aseme ana agenda gani. Kama ni timu ziko nyingi tu akanunue aoneshe namna fedha zake zinavyoweza kuleta mabadiliko.
Nimewahi kukutana na kijana mmoja kutoka Scotland na tulivyoanza kuongelea mambo ya mpira kwa 'ushamba' wangu nikawa nadhani ni shabiki wa rangers, celtic au dundee united lakini akanishangaza kwa kusema kuwa yeye timu yake ni ya kutokea kwenye mji wake na hizo nilizozisema zina mashabiki wake.Hivi ile timu yake iliishiaga wapi?,kwanza aueleze uma kwanini ilikufa
Huyu jamaa tapeli jengo la simba pale kariakoo linasimamia ile pesa yote, ukiacha brand ya simba imejengwa for more than 50 yrs. Anataka atumie simba brand kuuzia bidhaa zakeMmmmmhhhh kununua timu nas kuwalipa mishahara bob
We jamaa,hayo maswali kwa sasa hatutaki, unaona Viongozi wanakuambia Timu kwa sasa haina hela na hata kuzungusha akili kutumia Timu kama brand kutengeneza Pesa wanashindwa afu unaanza kutuletea ngonjera??Hivi ile timu yake iliishiaga wapi?,kwanza aueleze uma kwanini ilikufa
Yeye ni mpenzi na mnazi wa simba jamaa ana mapenzi na simba ndiyo maana anataka kuitoa ilipo na kuipeleka stage nyingineLimbukeni ni wewe unayedhani timu ni Simba tu. Si anunue Maji Maji au Toto Africa!
Mpenzi na mnazi wa Simba...amimine tu fedha kama Manji anavyomimina Yanga. Ana haja ya kumilikishwa?Yeye ni mpenzi na mnazi wa simba jamaa ana mapenzi na simba ndiyo maana anataka kuitoa ilipo na kuipeleka stage nyingine
Kwa hiyo Simba na haitafaidika? Hadi sasa Simba imefaidika vipi na brand yake?Huyu jamaa tapeli jengo la simba pale kariakoo linasimamia ile pesa yote, ukiacha brand ya simba imejengwa for more than 50 yrs. Anataka atumie simba brand kuuzia bidhaa zake
Shida huyu bepari anataka kumonopolize hisa karibu zote alafu akaitumie simba brand kufanya mambo yake aisei..!Kwa hiyo Simba na haitafaidika? Hadi sasa Simba imefaidika vipi na brand yake?
Naamini kuwa ujio wa Mo utakuwa na faida kwa pande zote mbili isipokuwa wale makomandoo ambao hawana kazi za kufanya zaidi ya kutegemea club, kihalisia wao ndio wanaofaidika na mfumo uliopo. Ikiwa mfumo wa hisa utatumika, wanachama wote watafaidika kutokana na kumiliki hisa, club imefaidika, na Mo naye atafaidika.
Vv
Manji sio mjinga, anaweseti tu wale wazee akina Ibrahim Akilimali, si unaona jinsi walivyompigia magoti ili agombee Uenyekiti wa Yanga? Baadaye atawatisha kuwaachia timu na ndipo watambembeleza ainunue kwa bei chee. Ujio wa Mo Simba, utaipandisha bei siku Manji akitaka apewe na kununua hisa; Yanga waombe tu jamaa asiichukue bure maana sio ajabu ipo siku atawaletea invoice!Mpenzi na mnazi wa Simba...amimine tu fedha kama Manji anavyomimina Yanga. Ana haja ya kumilikishwa?
Zinahitaji watu kama Bakhresa sio Mo. Africa lyon iko wapi sa hivi?Tuache ulimbukeni. Timu za Tanzania zinahitaji watu kama Mo.
Tunapaswa kubadilika. 20b ni pesa nyingi hapa kwetu
$10mil hupati Timu ya daraja la pili
Brand ambayo haijulikani hata inafanyaga biashara ganiAngeweza kununua huko ulaya lakini biashara zake ziko hapa Bongo.
So akinunua hapa atapata mwanya wa kukuza brand zake za 'Mooo'...
$10mil hupati Timu ya daraja la pili
Anaichukulia poa bilioni 20??wabongo bhana wamezoea rejareja na maigizo, hiyo hela ni nyingi mno.Una akili kweli wewe?
Okay then, kumbe Mo shida yake hajui kutongoza...tehe tehe tehe!Manji sio mjinga, anaweseti tu wale wazee akina Ibrahim Akilimali, si unaona jinsi walivyompigia magoti ili agombee Uenyekiti wa Yanga? Baadaye atawatisha kuwaachia timu na ndipo watambembeleza ainunue kwa bei chee. Ujio wa Mo Simba, utaipandisha bei siku Manji akitaka apewe na kununua hisa; Yanga waombe tu jamaa asiichukue bure maana sio ajabu ipo siku atawaletea invoice!
Hana jeuri yule, ana lake jambo. Wenye fedha zao haooo, wameanzisha Azam na wanagawa 100m kwa kila timu ya premier kununua matangazo. Yeye aendelee na biashara ya JuiceMbona bakhresa kaanzisha yake azam, na yeye akaanzishe ya kwake bhanyani mkubwa sana yule wizi mtupu..
Usije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.
Yeye aseme ana agenda gani. Kama ni timu ziko nyingi tu akanunue aoneshe namna fedha zake zinavyoweza kuleta mabadiliko.