Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

Usije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.

Yeye aseme ana agenda gani. Kama ni timu ziko nyingi tu akanunue aoneshe namna fedha zake zinavyoweza kuleta mabadiliko.
Mbona bakhresa kaanzisha yake azam, na yeye akaanzishe ya kwake
 
Hivi ile timu yake iliishiaga wapi?,kwanza aueleze uma kwanini ilikufa
Nimewahi kukutana na kijana mmoja kutoka Scotland na tulivyoanza kuongelea mambo ya mpira kwa 'ushamba' wangu nikawa nadhani ni shabiki wa rangers, celtic au dundee united lakini akanishangaza kwa kusema kuwa yeye timu yake ni ya kutokea kwenye mji wake na hizo nilizozisema zina mashabiki wake.
Ninachosema hapa ni kuwa 'ujinga' umetuharibu watz na ndio maana likija swala la mpira ni simba na yanga kana kwamba hatuna timu kwenye maeneo yetu. Na sio ajabu kukuta eti mtu ambaye hana hata uhakika wa mlo mmoja anajiua eti Simba au aseno wameshindwa! Sasa hata huyo Mo ambaye ni msomi na ana pesa anaangukuia hapo hapo kielelezo kwamba yeye anapenda simba na sio kwamba anapenda soka. Nguvu hii yote ni kwa ajili ya nini!?
 
Yeye mwenyewe mo ana mapenzi na simba na ni mwanachama na anaapenda kuwekeza simba,sasa mnamshauri akaanzishe timu yake au mani maji,kwani akuziona?
 
Hivi ile timu yake iliishiaga wapi?,kwanza aueleze uma kwanini ilikufa
We jamaa,hayo maswali kwa sasa hatutaki, unaona Viongozi wanakuambia Timu kwa sasa haina hela na hata kuzungusha akili kutumia Timu kama brand kutengeneza Pesa wanashindwa afu unaanza kutuletea ngonjera??
 
Yeye ni mpenzi na mnazi wa simba jamaa ana mapenzi na simba ndiyo maana anataka kuitoa ilipo na kuipeleka stage nyingine
Mpenzi na mnazi wa Simba...amimine tu fedha kama Manji anavyomimina Yanga. Ana haja ya kumilikishwa?
 
Huyu jamaa tapeli jengo la simba pale kariakoo linasimamia ile pesa yote, ukiacha brand ya simba imejengwa for more than 50 yrs. Anataka atumie simba brand kuuzia bidhaa zake
Kwa hiyo Simba na haitafaidika? Hadi sasa Simba imefaidika vipi na brand yake?

Naamini kuwa ujio wa Mo utakuwa na faida kwa pande zote mbili isipokuwa wale makomandoo ambao hawana kazi za kufanya zaidi ya kutegemea club, kihalisia wao ndio wanaofaidika na mfumo uliopo. Ikiwa mfumo wa hisa utatumika, wanachama wote watafaidika kutokana na kumiliki hisa, club imefaidika, na Mo naye atafaidika.

Vv
 
Shida huyu bepari anataka kumonopolize hisa karibu zote alafu akaitumie simba brand kufanya mambo yake aisei..!
 
Mpenzi na mnazi wa Simba...amimine tu fedha kama Manji anavyomimina Yanga. Ana haja ya kumilikishwa?
Manji sio mjinga, anaweseti tu wale wazee akina Ibrahim Akilimali, si unaona jinsi walivyompigia magoti ili agombee Uenyekiti wa Yanga? Baadaye atawatisha kuwaachia timu na ndipo watambembeleza ainunue kwa bei chee. Ujio wa Mo Simba, utaipandisha bei siku Manji akitaka apewe na kununua hisa; Yanga waombe tu jamaa asiichukue bure maana sio ajabu ipo siku atawaletea invoice!

Vv
 
Tuache ulimbukeni. Timu za Tanzania zinahitaji watu kama Mo.
Tunapaswa kubadilika. 20b ni pesa nyingi hapa kwetu
Zinahitaji watu kama Bakhresa sio Mo. Africa lyon iko wapi sa hivi?
 
Manji sio mjinga, anaweseti tu wale wazee akina Ibrahim Akilimali, si unaona jinsi walivyompigia magoti ili agombee Uenyekiti wa Yanga? Baadaye atawatisha kuwaachia timu na ndipo watambembeleza ainunue kwa bei chee. Ujio wa Mo Simba, utaipandisha bei siku Manji akitaka apewe na kununua hisa; Yanga waombe tu jamaa asiichukue bure maana sio ajabu ipo siku atawaletea invoice!
Okay then, kumbe Mo shida yake hajui kutongoza...tehe tehe tehe!
 
Mbona bakhresa kaanzisha yake azam, na yeye akaanzishe ya kwake bhanyani mkubwa sana yule wizi mtupu..
Hana jeuri yule, ana lake jambo. Wenye fedha zao haooo, wameanzisha Azam na wanagawa 100m kwa kila timu ya premier kununua matangazo. Yeye aendelee na biashara ya Juice
 
Usije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.

Yeye aseme ana agenda gani. Kama ni timu ziko nyingi tu akanunue aoneshe namna fedha zake zinavyoweza kuleta mabadiliko.

wale wale wakina mzee akili mali yeye kasema ni mapenzi yake kwa club ya simba na anaipenda haoni sababu za msingi kuwekeza kwenye timu asiyoipenda hizi ndo figusu figusu alizofanyia mzee bakhresa alipokuwa akiitaka simba akaachana nayo kaenda kuianzisha azam kaikuta simba bado iko vile vile haina hata uwanja nyie ni majipu.
 
Back
Top Bottom