Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

nyie watu maneno mengi mkiambiwa muwalipe wachezaji mshahara mzuri mnaingia mitini...timu haina pesa za kusajili kama mnaipenda simba toeni pesa zenu msajili wachezaji wa maana basi...muacheni MO ainunue timu ifanye vizuri
 

Atakuwa keshapiga hesabu siku nyingi sana. Atanunua na kuiuza ndani ya muda mfupi tu. Ingekuwa vigumu foreigner kuingia moja kwa moja. Naona uwezekano wa watu wa nje kuwa nyuma yake lakini yeye atavuna billions! Mchina akinunua break ya kwanza ni pale Msimbazi. Atashusha kitu cha kweli.

Anashindwa nini kufanya alichofanya Mzee Bakhresa pale Azam?
 
Na hiyo 20B hatoi physical. Hiyo 20B anaweka bank kisha Riba yake ambayo ni kama 3.7B a year ndio itaingia kwenye Budget ya Simba.
 
nyie watu maneno mengi mkiambiwa muwalipe wachezaji mshahara mzuri mnaingia mitini...timu haina pesa za kusajili kama mnaipenda simba toeni pesa zenu msajili wachezaji wa maana basi...muacheni MO ainunue timu ifanye vizuri
Umesikika Mkuu. Ni mawazo tu ya sisi wapita njia.
 
Na hiyo 20B hatoi physical. Hiyo 20B anaweka bank kisha Riba yake ambayo ni kama 3.7B a year ndio itaingia kwenye Budget ya Simba.
Hiyo riba baada ya mwaka just imagine. Tukumbuke kibiashara kwenye hizo 3.7 billion, asilimia 51 zitakuwa za kwake!
 
Napata wakati Mgumu sana.
Wakati Baba yake anaihujumu Simba dhidi Stella Artous alikuwa na Umri wa kuelewa kabisa. Na alikuwa anajua kwa nini baba yake alifanya vile.

Leo akiwa ndo mkuu na mmiliki wa shughuli zote za baba yale tukizingatia Vina Nane (DNA) tutaamini vipi kama hawezi kuw muhujumu kama DNA yake ilivyo?

Huyu mtu haaminiki hata kidogo.
 
Yeye mwenyewe mo ana mapenzi na simba na ni mwanachama na anaapenda kuwekeza simba,sasa mnamshauri akaanzishe timu yake au mani maji,kwani akuziona?
Je unajua kuwa Bakhresa ni mpenzi wa mpira. Lakini yuko huko na timu yake Azam fc
 
Azim Dewji si Baba yake. Ni family tu.

Ila Family ya Dewji ina historia isioisha na Simba.

Kuna mtu anaita Kasim Dewji. Sijui yuko wapi huku Mkubwa.

Na najua anasubiri kwa hamu hii ishu ipite apige pesa.

Wazo Langu.

Kwenye ile media conference ya juzi hakuongelea suala la Uongozi mbovu Simba, kwa fikra yangu ni kwamba anauunga mkono uongozi/viongozi waliopo.
If thats the case kwa nini asikae na uongozi wa Simba wakapanga namna kuajiri Business brains kwenye commercial side ya team ili kuongeza mapato.

Mfano kuajiri management companies ambazo zitasimamia mapato na kubuni njia mpya ya kuongoza kipato.
Kama Jengo la Simba lina thamani ya 7 Bilions ina maana kwenye Treasure Bond jengo linaweza kuingiza kwenye 1.2Billions kwa Mwaka. Ukijumlisha na pato la sasa 1.5 ni sawa na 3.7B kwa mwaka. Na yeye MO akifanya udhamini wa 300 kwa Mwaka maana yake Simba inakuwa kwenye Budget ya 4 Billion.

Sasa kwa nini hataki kufanya ushauri huo badala yake anataka 51% ya Club.

Maswali ni Mengi sana.
 
I think alikuwa hajafanya research au alishauriwa vibaya kuhusu hii propasal.

Kitu kingine kibaya ametumia timing ya mkutano mkuu ili agawanye wanachama. Timu izidi kugawanyika, wafadhili kina NMB na TBL wajitoe ili achukue timu kiurahisi. Very dirty tactics.

Propasal imekaa vibaya. Tanzania wasomi wengi siku hizi. Calculator haziitajiki tena watu wanatumia Ubongo.

Arudi kujipanga aje na propasal nyingine.
 
Uwezo wa mikia fc kufikiri ni shida!!
 
Romania na
Romania na Ukraine sio ulaya kule ? Mo kasema ulaya
 
Timu ziko nyingi..lakini yeye binafsi ana mapenzi na simba, nilivyomuelewa mimi
 
Washabiki wa Simba mnatakiwa kufahamu kwamba hiyo TZS 20 billion, ni "Investment plan" na siyo "cash" iliyokotayari kuwekezwa ndani ya mwaka mmoja. "Investment Plan" inaweza kuwa ya miaka mitano au zaidi na matokeo "Results" yanawezakuwa tofauti na matarajio.

Msiwatimue viongozi wa kusika tarakimu ya TZS 20 billion

 
Simba kwa sasa tunaitaji mabadiliko tumechoka kubezwa muda mlefu kwanza tanguu ameingia uyoo aveva akuna alichofanya zaidi ya kukuza migogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…