Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

Wala hatoi hizo billion 20 kwenye Club moja kwa moja. Eti watanunua hatifungani (sijui za muda gani). Ule mtaji utabaki kuwa wa kwake na atakuwa na gawio la 51% kwenye faida ya hizo hatifungani.

Hivi nani kafanya valuation ya assets za Simba kujua thamani yake hadi afikie kusema ananunua hisa 51% kwa billion 20? Something very fishy somewhere. Kesho kutwa anaweza kuamua kuuza hisa zake kwa thamani halisi maana wakati huo tofauti na sasa, itakuwa inajulikana!

Only time will tell.
nyie watu maneno mengi mkiambiwa muwalipe wachezaji mshahara mzuri mnaingia mitini...timu haina pesa za kusajili kama mnaipenda simba toeni pesa zenu msajili wachezaji wa maana basi...muacheni MO ainunue timu ifanye vizuri
 
Halafu anaweza kuja kuuza hata kwa mchina au yeyote yule
manake club itakuwa mali yake
huyu ni mjanja mjanja mno
Tazama anavyo penda Media
keshamnnua yule mwandishi wa Forbes Africa..sasa eti yeye ndo 'the richest in Tanzania
huku anaujua ukweli
Bakhresa na Oilcom owners ni far richer than him

Atakuwa keshapiga hesabu siku nyingi sana. Atanunua na kuiuza ndani ya muda mfupi tu. Ingekuwa vigumu foreigner kuingia moja kwa moja. Naona uwezekano wa watu wa nje kuwa nyuma yake lakini yeye atavuna billions! Mchina akinunua break ya kwanza ni pale Msimbazi. Atashusha kitu cha kweli.

Anashindwa nini kufanya alichofanya Mzee Bakhresa pale Azam?
 
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe lakini there is something very fishy about Mo's investment. Anasema atawekeza Billion 20 na zitatumika kununua hatifungani za serikali sina uhakika kwa muda gani.

Wakati huo, atakuwa keshakuwa mmiliki wa Club. Kwa sheria za makampuni lazima aongoze hiyo kampuni kwa kuweka watu wake. Pesa yake bado itakuwa ni ya kwake kwa kuwa mmiliki mwenye hisa nyingi.

Muda ndiyo utasema nia yake ni ipi hasa. Mzee Bakhresa alikuwa Simba vile vile lakini akaona aanzishe timu yake. Mo alishafanya hayo kwa kuinunua Mbagala Market lakini ilimshinda kwa kuwa haina fan base. Hizi juhudi kubwa za kuinunua Simba (ndiyo kuinunua) zina maana yake. Anaweza kuja kuiuza siku za usoni kwa bei halisi maana hakuna anayejua hiyo thamani ya billion 20 imetoka wapi.
Na hiyo 20B hatoi physical. Hiyo 20B anaweka bank kisha Riba yake ambayo ni kama 3.7B a year ndio itaingia kwenye Budget ya Simba.
 
nyie watu maneno mengi mkiambiwa muwalipe wachezaji mshahara mzuri mnaingia mitini...timu haina pesa za kusajili kama mnaipenda simba toeni pesa zenu msajili wachezaji wa maana basi...muacheni MO ainunue timu ifanye vizuri
Umesikika Mkuu. Ni mawazo tu ya sisi wapita njia.
 
Na hiyo 20B hatoi physical. Hiyo 20B anaweka bank kisha Riba yake ambayo ni kama 3.7B a year ndio itaingia kwenye Budget ya Simba.
Hiyo riba baada ya mwaka just imagine. Tukumbuke kibiashara kwenye hizo 3.7 billion, asilimia 51 zitakuwa za kwake!
 
CowgvwPW8AAfHel.jpg

Leo Jumatatu, Agosti,1 mfanyabiashara bilionea Mohamed Dewji alikuwa na mkutano na waandishi wa habari, akasema uwekezaji wa 20 bilioni anaotaka kuufanya angeweza kununua timu Ulaya ya daraja la pili lakini anafanya sababu ya mapenzi yake kwa timu ya Simba.

Pia akakosoa shutumia alizotupiwa na viongozi wa Simba na kusema ameshakutana zaidi ya mara tatu na rais wa Simba na ameshakuja ofisini kwake zaidi ya mara tatu.
Napata wakati Mgumu sana.
Wakati Baba yake anaihujumu Simba dhidi Stella Artous alikuwa na Umri wa kuelewa kabisa. Na alikuwa anajua kwa nini baba yake alifanya vile.

Leo akiwa ndo mkuu na mmiliki wa shughuli zote za baba yale tukizingatia Vina Nane (DNA) tutaamini vipi kama hawezi kuw muhujumu kama DNA yake ilivyo?

Huyu mtu haaminiki hata kidogo.
 
Yeye mwenyewe mo ana mapenzi na simba na ni mwanachama na anaapenda kuwekeza simba,sasa mnamshauri akaanzishe timu yake au mani maji,kwani akuziona?
Je unajua kuwa Bakhresa ni mpenzi wa mpira. Lakini yuko huko na timu yake Azam fc
 
Napata wakati Mgumu sana.
Wakati Baba yake anaihujumu Simba dhidi Stella Artous alikuwa na Umri wa kuelewa kabisa. Na alikuwa anajua kwa nini baba yake alifanya vile.

Leo akiwa ndo mkuu na mmiliki wa shughuli zote za baba yale tukizingatia Vina Nane (DNA) tutaamini vipi kama hawezi kuw muhujumu kama DNA yake ilivyo?

Huyu mtu haaminiki hata kidogo.
Azim Dewji si Baba yake. Ni family tu.

Ila Family ya Dewji ina historia isioisha na Simba.

Kuna mtu anaita Kasim Dewji. Sijui yuko wapi huku Mkubwa.

Na najua anasubiri kwa hamu hii ishu ipite apige pesa.

Wazo Langu.

Kwenye ile media conference ya juzi hakuongelea suala la Uongozi mbovu Simba, kwa fikra yangu ni kwamba anauunga mkono uongozi/viongozi waliopo.
If thats the case kwa nini asikae na uongozi wa Simba wakapanga namna kuajiri Business brains kwenye commercial side ya team ili kuongeza mapato.

Mfano kuajiri management companies ambazo zitasimamia mapato na kubuni njia mpya ya kuongoza kipato.
Kama Jengo la Simba lina thamani ya 7 Bilions ina maana kwenye Treasure Bond jengo linaweza kuingiza kwenye 1.2Billions kwa Mwaka. Ukijumlisha na pato la sasa 1.5 ni sawa na 3.7B kwa mwaka. Na yeye MO akifanya udhamini wa 300 kwa Mwaka maana yake Simba inakuwa kwenye Budget ya 4 Billion.

Sasa kwa nini hataki kufanya ushauri huo badala yake anataka 51% ya Club.

Maswali ni Mengi sana.
 
Mohammed dewij aache uongo... Atuambie ni timu gani ya ligi daraja la pili ulaya inauzwa kwa shilingi billion 20.... Huo ni uongo Wa mchana

Nimechukua mfano Wa timu ya ligi daraja la pili pale uingereza( Portsmouth ) Bei yake in £ million 30 Yours for Just £30m: Portsmouth Football Club Worth Just a Bit More Than Joleon Lescott

Labda atuambie ni timu za ligi daraja la pili huko Romania au Ukraine
I think alikuwa hajafanya research au alishauriwa vibaya kuhusu hii propasal.

Kitu kingine kibaya ametumia timing ya mkutano mkuu ili agawanye wanachama. Timu izidi kugawanyika, wafadhili kina NMB na TBL wajitoe ili achukue timu kiurahisi. Very dirty tactics.

Propasal imekaa vibaya. Tanzania wasomi wengi siku hizi. Calculator haziitajiki tena watu wanatumia Ubongo.

Arudi kujipanga aje na propasal nyingine.
 
Manji sio mjinga, anaweseti tu wale wazee akina Ibrahim Akilimali, si unaona jinsi walivyompigia magoti ili agombee Uenyekiti wa Yanga? Baadaye atawatisha kuwaachia timu na ndipo watambembeleza ainunue kwa bei chee. Ujio wa Mo Simba, utaipandisha bei siku Manji akitaka apewe na kununua hisa; Yanga waombe tu jamaa asiichukue bure maana sio ajabu ipo siku atawaletea invoice!

Vv
Uwezo wa mikia fc kufikiri ni shida!!
 
Romania na
Mohammed dewij aache uongo... Atuambie ni timu gani ya ligi daraja la pili ulaya inauzwa kwa shilingi billion 20.... Huo ni uongo Wa mchana

Nimechukua mfano Wa timu ya ligi daraja la pili pale uingereza( Portsmouth ) Bei yake in £ million 30 Yours for Just £30m: Portsmouth Football Club Worth Just a Bit More Than Joleon Lescott

Labda atuambie ni timu za ligi daraja la pili huko Romania au Ukraine
Romania na Ukraine sio ulaya kule ? Mo kasema ulaya
 
Usije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.

Yeye aseme ana agenda gani. Kama ni timu ziko nyingi tu akanunue aoneshe namna fedha zake zinavyoweza kuleta mabadiliko.
Timu ziko nyingi..lakini yeye binafsi ana mapenzi na simba, nilivyomuelewa mimi
 
Washabiki wa Simba mnatakiwa kufahamu kwamba hiyo TZS 20 billion, ni "Investment plan" na siyo "cash" iliyokotayari kuwekezwa ndani ya mwaka mmoja. "Investment Plan" inaweza kuwa ya miaka mitano au zaidi na matokeo "Results" yanawezakuwa tofauti na matarajio.

Msiwatimue viongozi wa kusika tarakimu ya TZS 20 billion

CowgvwPW8AAfHel.jpg

Leo Jumatatu, Agosti,1 mfanyabiashara bilionea Mohamed Dewji alikuwa na mkutano na waandishi wa habari, akasema uwekezaji wa 20 bilioni anaotaka kuufanya angeweza kununua timu Ulaya ya daraja la pili lakini anafanya sababu ya mapenzi yake kwa timu ya Simba.

Pia akakosoa shutumia alizotupiwa na viongozi wa Simba na kusema ameshakutana zaidi ya mara tatu na rais wa Simba na ameshakuja ofisini kwake zaidi ya mara tatu.
 
Simba kwa sasa tunaitaji mabadiliko tumechoka kubezwa muda mlefu kwanza tanguu ameingia uyoo aveva akuna alichofanya zaidi ya kukuza migogoro
 
Back
Top Bottom