Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

Mohamed Dewji Tsh 20 bilioni naweza kununua timu Ulaya

CowgvwPW8AAfHel.jpg


Leo Jumatatu, Agosti,1 mfanyabiashara bilionea Mohamed Dewji alikuwa na mkutano na waandishi wa habari, akasema uwekezaji wa 20 bilioni anaotaka kuufanya angeweza kununua timu Ulaya ya daraja la pili lakini anafanya sababu ya mapenzi yake kwa timu ya Simba.

Pia akakosoa shutumia alizotupiwa na viongozi wa Simba na kusema ameshakutana zaidi ya mara tatu na rais wa Simba na ameshakuja ofisini kwake zaidi ya mara tatu.
Kununua team ya daraja LA pili inawezekana kwenye baadhi ya nchi ulaya na kuwekeza Tanzania kwenye Moira wetu in ngumu kidogo kupata faida kwa mda ambao yeye atataka
 
Huyo mo kwann asiwekeze kwenye team yake african lyon anahangaika na simba ya nn
 
Back
Top Bottom