Mohamed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) Group has secured a $200 million



Mimi nadhani wewe ndio mpumbavu kwani huelewi niandikacho kuwa whether ni through incentives za Investment Centre au kuwahonga TRA officers the end result is the same kuwa kodi hailipwi!! Sasa unataka nikasome hayo makabrasha ya nini ; wewe uliye mpumbuvu ndio unahitaji kusoma hayo makabrasha ili utakapokaa na wanaume kwenye meza moja usiweze kuonesha upumbavu wako SWINE!!!
 

Sioni logic kwenye post zako. I must be arguing wit an idiot / bum. Kamsaidie mkeo kuosha vyombo. I'm off ths thread. I got much to do.
 
Sioni logic kwenye post zako. I must be arguing wit an idiot / bum. Kamsaidie mkeo kuosha vyombo. I'm off ths thread. I got much to do.

Wewe ni mpumbavu utaonaje logic? Nenda kafanye kazi za uboi kwa hao waume zako wanaokuweka hapa mjini.
 

wakati anaanza biashara baba yake alimpa dola million 1..naamini hyo dola million 1 source yake ni ni ile biashara ya ngada,kpindi ambacho hii familia ilijikkita kuidhamini simba back in 90s ndyo kpind ambacho biashara Yao haram ndyo ilikuwa kwny peak km unabisha mtafute mchezaji aliyechezea simba miaka hyoo atkwambia ukweli
 

Hzi biashara zina siri sanaaa (utajiri kwa ujumla una siri nyingi sanaaa). Tajiri yeyote mara nyingi lazma unakuta kuna sehem amepiga issue tu. Ni ngumu kujua/prove. We si unaona juzi kati mkuu wa kaya amekanusha tuhuma za Riz. Noone knows. Ni njia flan za mkato ila haimaniishi bila hvyo biashara hazifanikiwi. I know its hard to get a start in these parts without paper. At the end of the day it is what it is.
 
Nawakubali wawekezaji wenye asili ya kiasia kwa kujua kutumia fursa na mianya ya ukwepaji wa kodi trust me jamaa hawalipi kodi, nawachukia sababu hawatulipi vyema kulinganisha na cheap expatriates from india. Wanachotufanyia wa kulima wa dakawa wamesababisha niwachukie na natamani president mbabe. The ----ers should pay.
 

Acha kujidanganya wewe jamaa na madesa tax avoidance, evasion or whatever the case might be hawa jamaa wenye asili ya kiasia mitaji yao mingi inauhusiano na pesa chafu sana dana unga mfano mitaa ya kwetu huku wapo wengi sana hao jamaa wananunua nyumba sasa hivi wanazo zaidi ya 15 minimum mitaa ya huku nyumba ni 300-400 mil na ghorofa storey 9 juu ukweli ni kwamba kujituma wanajituma lakini msingi wa biashara ni pesa chafu wengine sitaki hata kusema wewe komaa tu na madesa yako hayo kujidanganya danganya wakati capital hauna...suala sio kuendeleza biashara swala ni capital ilipatikana vipi kama nimekukwaza sorry ila uhalisia ndo hivyo...Over...!!
 

Nko mjini siku nyingi na ni mzaliwa wa hapa hapa Dar, Nafaham na kuelewa fika unachosema. Its true wengi mitaji yao sio halali mbna wapo kibao wana push ngada mitaani wana hela mbaya lakini jiulize ni wangapi wana investments za kueleweka ?? Unakuta mtu anahela nyingi ila haeleweki anafanya biashara na ku own investments gan !! At the end of tha day these asians wanajua ku manage their finances and run successful investments. Issue sio madesa ya tax or anything like that...swala la msingi ni ufaham na elimu ya fedha na jinsi unavyotumia resources zako kupata output ulioipanga i.e si unacheck jamaa anakwambia by 2018 anataka wawe wanafanya turnover ya $ 5 Bn. Hyo turnover unafikiri ni kitu cha masihara ??? Last but not least haimaanishi hakuna legal sources of capital na biashara zote zilianza na misingi haramu .
 

Watu waelewa wanaumiza kichwa kwenye kupata sound business plan/proposal. Tatizo letu wengi tunafikiri pesa ndio kikwazo wakati kimsingi hata kama ukinipatia pesa nyingi kiasi gani, kama sina mpango mzuri wa ntakavyozitumia kuhakikisha zinaendelea kuzalisha na kujiendesha, zitasambaratika tu.

Lakini ukuweza kuumiza kichwa ukaja na wazo lenye maana, kuna watu wengi wana pesa zao wanatafuta tu nani anaweza kuzizalisha, achilia mbali taasisi za kifedha ambazo ziko tayari kutoa mikopo kwa watu makini.

Inabidi tubadilike jinsi tunavyofikiri na kutazama mambo kama tunataka mabadiliko ya kweli kwenye maisha, vinginevyo tutabaki kulalamika tu!
 

Sioni logic kwenye post zako. I must be arguing wit an idiot / bum. Kamsaidie mkeo kuosha vyombo. I'm off ths thread. I got much to do.

Wakuu vipi tena? hichi kiwango mnachokionyesha hapa ni cha chini mno...tunaweza kutofautiana mitazamo na uelewa wa mambo ila lugha za staha zipo, tafadhali.
 

You can say that again brother.
 

Sio kosa lao ni serikali yako na bunge lako. Tangu lini umeskia mfanyabiashara Tanzania amefungwa jela kwa kukwepa kodi? Jibu ni hapana kwa upande wangu kwa vile sheria zilizopo ni dhaifu na zilitungwa na wakwepa kodi wenyewe. Kwa hiyo lawama ziende kwa CCM na si hao wahindi. Kila mfanyabiashara anataka faida, biashara zimetokana na Exploitation kwa hiyo Kama nchi ni ya kijinga wanachukulia poa masuala ya kodi Kama Tz, acha watu wakwepe. But all in all MO amelenga vitu vikubwa sana kwa uchumi wa Tanzania
 
Ha ha ha ha ha nenda kafanye utafiti utakuta ajira zote wamelamba wahindi wenzake akiwamaliza anakwenda kuwakomba India na Pakstan chezea wahindi labda huwajui vizuri tuulize sisi tunawajua nje ndani wanacheza dili na watawala/uhamiaji.

Direct employment with very low monthly pay
 
Wa asia huwapa watoto wao Elimu ya fedha mbongo humwambia Mtoto wake asome kwa bidiii atapata kazi nzuri matokeo yake utaenda kufanya kazi kwa mu Asia
 
Mm baada ya kusoma vitabu vinne vya r kiyosaki nimekuja kugundua kuwa kama hautaki kutafuta maarifa ya jinsi ya kutumia fedha za watu na muda wa watu hauwezi kuwa tajiri
 
Kama kuna mtu anataka nimshirikishe kupata Elimu hii niliyoipata tunaweza kutafutana na kukupatia vitabu hivi rich dad and poor dad,cash flow quadrant,increase ur finanancial IQ,Retire young retire rich ninazo audio books unaweza kunipata kwa namba 0762331555
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…