Hebu jiangalie ulivyokuwa mjinga, mshamba, mpumbav tena unatoa post kwa kishindo kabsa kwamba taxes hazilipwi kwa serikali. Hebu nenda kwenye website ya TIC download Tanzania's Investment Guide kisha kaa tulia uisome. Uelewe na kujua grants and incentives serikali yako inayotoa kwa investors. Kisha kasome makabrasha ya TRA kuhusu ulipaji wa kodi unavyokua sio unakuja kuropoka humu kama wanawake wa manzese. After that ndio uje uanzishe mdahalo humu JF. You are the stupid and ignorant one here. Wanaojua issue zinavyokwenda wamekaa kimya. Ukipata mtu anakufuta matongo tongo uwe na shukrani wakat mwingine, sehem zingine ukija kukaa meza moja na wanaume watafuta pesa utakuja onekana hanith* !!! Sikilizaga na bunge (sio la katiba) litakutanua mawazo kwa namna moja au nyingine !!!
Mimi nadhani wewe ndio mpumbavu kwani huelewi niandikacho kuwa whether ni through incentives za Investment Centre au kuwahonga TRA officers the end result is the same kuwa kodi hailipwi!! Sasa unataka nikasome hayo makabrasha ya nini ; wewe uliye mpumbuvu ndio unahitaji kusoma hayo makabrasha ili utakapokaa na wanaume kwenye meza moja usiweze kuonesha upumbavu wako SWINE!!!