Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion Mohamed Haji amefunguka dhamira ya kufanya Dua maalum Kizimkazi Zanzibar, na kusema kuwa Dua hiyo ni kumshtakia Mungu kuendelea kutupa Amani nchini Pamoja na kuwalinda Viongozi wa Serikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025