Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Why kizimkazi? Huko ndiko inakokubarika Dua?Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion Mohamed Haji amefunguka dhamira ya kufanya Dua maalum Kizimkazi Zanzibar, na kusema kuwa Dua hiyo ni kumshtakia Mungu kuendelea kutupa Amani nchini Pamoja na kuwalinda Viongozi wa Serikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi.
View attachment 3322522