Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hawa mabeki wawili wa Simba. Yaani ni Wazito sana kurusha Mpira ndani ya uwanja.
Huwa nawaona kama vile hubabaika bila ya kujua wamrushie nani Mpira.
Huwa nawaona kama vile hubabaika bila ya kujua wamrushie nani Mpira.