Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kabisa. Ingawa Kapombe ni nafuu kuliko Hussein, lakini wote wanapoteza muda sana na kuwafanya wapinzani wajipange.Afadhali ya Kapombe Ila Mohamed Husein anajizungisha Sana kurusha mpira mpaka timu pinzani wajipange.
Too much delaying is dangerous and harmful to the team.Delaying
Hata kule kwa Orlando kapombe alihujumu timu kwa hii delayment sijui ana kigugumuzi cha mikono hawamuoni pin pin anavo anzisha mpr fastaKapombe....