Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ya nini?Pole sana
Ukiitwa mpumbavu unachukia angalia nlicho comment na alie leta habari za Mayele! S!***Nyinyi ndio mnaofanya washabiki wa kweli Yanga SC tuonekane hovyo
Hakukuwa na sababu kuleta mambo yasiyohusiana na mada pendekezwa,mada inahusu usajili unaomuhusu Tshabalala wewe umekuja na mada yako ya umri wa kina mauya sijui baleke....
Dah tuna safari ndefu sana.
Logic yako ni nini hasa umri au shortcut?Unajua Marumo Gallants ni muunganiko wa maveterani waliokuwa wanaenda kustaafu. Wao wamechukua shortcut kama ya Yanga iliyokusanya wazoefu wa AS Vita ili kufikia mafanikio kwa haraka.
Hii ndiyo moja ya sababu ya kwa nini Marumo hawafanyi vizuri katika ligi yao maana wachezaji wao hawana stamina ya kupambana katika mashindano mengi kwa wakati mmoja wakaona wafocus kwenye shirikisho.
Uwezo wake wa kutumia miguu yote miwili inatosha mimi kumpa nafasi Mbegu sasa hivi pale Simba. Zimbwe alikuwa anaicost sana Simba mipira mingi alikuwa anapoteza, hili tumelijadili sana siku za nyuma.Mbegu amesajiliwa Simba???kijana yupo vizuri ila kwa level za zimbwejr bado sana ana mengi ya kujifunza
[emoji1787][emoji1787]endeleeni kuparuana wanautopolo,kwahiyo kuna wapumbavu na wasio na akili???Ukiitwa mpumbavu unachukia angalia nlicho comment na alie leta habari za Mayele! S!***
Hili nalo ni tatizo linalohitaji kupatiwa ufumbuzi.Wakiachwa wataendelea kuroga wanaokuja ili wacheze wao
Tokea nianze kuangalia mpira sijawahi muona beki ya kushoto yenye uwezo kama Tshabalala.Kijana anaitwa Mbegu full back left ya Ihefu ndio imemkimbiza Shabalala Simba. Tokea huyo Dogo asaini mkataba Simba. Wekundu wa Msimbazi wememfungia vioo Shabalala. Labda aende huko South.
Huwajui wabongo walivyo much know....Tokea nianze kuangalia mpira sijawahi muona beki ya kushoto yenye uwezo kama Tshabalala.
Huyo mdogo bado sana ana mengi ya kjjifunza kwa Tshabalala msimvimbishe kichwa. Hata kwa msimu huu kwa beki ya kushoto yy ndiye bora.