Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Zimbwe hakuwai kuwa simba B, alikuwa Azam academy baadae stewart hall akamtema, akarudi Friends Rangers ya manzese baadae herry Mzozo akampeleka kagera sugar ila umri mdogo na majeruhi hakakosa namba, ila awashukuru wakina Kaburu,hanspope,herry mzozo waliamua kumchukua for future simba generation 2014 maana wakati wa usajili alikuwa chaguo la tatu baada ya abdi banda, baba ubaya mpaka leo Zimbwe ni bonge la mchezajiHapo umeruka sehemu moja alitokea simba B kabla hajaenda kagera. Simba walifanya kumrudisha tu nyumbani
I guess ni African sports todaymtandao mmoja Afrika umeandika huyu dogo yuko underrated. ila ni hatari sana
maisha ni kuvumilia. fikiria mtu ameanza kucheza 2014 unakuja kutoka miaka ya 2020sZimbwe hakuwai kuwa simba B, alikuwa Azam academy baadae stewart hall akamtema, akarudi Friends Rangers ya manzese baadae herry Mzozo akampeleka kagera sugar ila umri mdogo na majeruhi hakakosa namba, ila awashukuru wakina Kaburu,hanspope,herry mzozo waliamua kumchukua for future simba generation 2014 maana wakati wa usajili alikuwa chaguo la tatu baada ya abdi banda, baba ubaya mpaka leo Zimbwe ni bonge la mchezaji
Kwenye umri mdogo na majeraha zilimfanya asicheze kagera, umeonesha umjui Tshabalala, Tafuta vzri historia yakeZimbwe hakuwai kuwa simba B, alikuwa Azam academy baadae stewart hall akamtema, akarudi Friends Rangers ya manzese baadae herry Mzozo akampeleka kagera sugar ila umri mdogo na majeruhi hakakosa namba, ila awashukuru wakina Kaburu,hanspope,herry mzozo waliamua kumchukua for future simba generation 2014 maana wakati wa usajili alikuwa chaguo la tatu baada ya abdi banda, baba ubaya mpaka leo Zimbwe ni bonge la mchezaji
HahahahaShabiki gani wewe wa Yanga unaleta mgawanyiko kwa kuita Dar es Salaam Young Africans??? Yanga ni ya Tanzania nzima ...inaitwa Young Africans Sports Club au Young Africans au Yanga....hizo mbwembwe za Dar es Salaam Young Africans ni upotoshaji mkubwa....Je, ni sahihi kuita Dar es Salaam Simba Sports Club au Dar es Salaam Azam Football Club????!!!! Acheni bwana kupotosha umma kuhusu jina sahihi la klabu ya wananchi....mimi huwa nawashangaa waandishi wa habari na watanggazaji uchwara wanaojidai wanajua sana kwa kuiita klabu hii eti Dar es Salaam Younga Africans...Huu ni upotoshaji na uchochezi pia...
Yaani atoke simba aje yanga?Mimi ni shabiki namba moja wa Dar Es Salaam Young Africans but kwa huyu bwana mdogo wacha nimpe sifa zake . Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Analitendea haki jina.la wajina wake Mohamed Hussein Machinga ..
Kwa anaefahamu CV ya Tshabalala afunguke .
Kabla ya kusajiliwa SSC alikuwa chama gani?
Viongozi wa Yanga ..Fanyeni mpango.mumvute Tshabalala jangwani .
Akiungana.na Fei Toto pale itakuwa bonge la Chemistry
Ma jamaa inaonekana ni simba damu maana hata akiongea ni full passion na simbaAlicheza Friends rangers,Kagera sugar..ukoo wao Yanga watupu..baba yake mdogo alicheza Yanga..Said Zimbwe..Ila huyu ameng'ang'ania mikia..baba yake alienda kumchukulia tuzo ya mchezaji bora alisema anatamani mtoto wake angecheza Yanga..kama Kichuya nae...
Yanga hatutaki mashosti hukuMimi ni shabiki namba moja wa Dar Es Salaam Young Africans but kwa huyu bwana mdogo wacha nimpe sifa zake . Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Analitendea haki jina.la wajina wake Mohamed Hussein Machinga ..
Kwa anaefahamu CV ya Tshabalala afunguke .
Kabla ya kusajiliwa SSC alikuwa chama gani?
Viongozi wa Yanga ..Fanyeni mpango.mumvute Tshabalala jangwani .
Akiungana.na Fei Toto pale itakuwa bonge la Chemistry
Umenena ukweli. Hii historia aliitoaga yeye mwenyewe.Zimbwe hakuwai kuwa simba B, alikuwa Azam academy baadae stewart hall akamtema, akarudi Friends Rangers ya manzese baadae herry Mzozo akampeleka kagera sugar ila umri mdogo na majeruhi hakakosa namba, ila awashukuru wakina Kaburu,hanspope,herry mzozo waliamua kumchukua for future simba generation 2014 maana wakati wa usajili alikuwa chaguo la tatu baada ya abdi banda, baba ubaya mpaka leo Zimbwe ni bonge la mchezaji