Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
Zimbwe hakuwai kuwa simba B, alikuwa Azam academy baadae stewart hall akamtema, akarudi Friends Rangers ya manzese baadae herry Mzozo akampeleka kagera sugar ila umri mdogo na majeruhi hakakosa namba, ila awashukuru wakina Kaburu,hanspope,herry mzozo waliamua kumchukua for future simba generation 2014 maana wakati wa usajili alikuwa chaguo la tatu baada ya abdi banda, baba ubaya mpaka leo Zimbwe ni bonge la mchezajiHapo umeruka sehemu moja alitokea simba B kabla hajaenda kagera. Simba walifanya kumrudisha tu nyumbani