Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyoshea serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao.

My take
Hivi inawezekana kweli kwa Tanzania yetu chama cha upinzani kikafanya mauaji kama Yale ya kibao!? Ukizingatia mheshimiwa rais alijisifu kwamba intelejensia ya Tanzania ni kubwa sana .
Kaongea upuuzi mtupu
 
Hii nchi kila mtu analalamika.
Serikali inalalamika,
Chama dola kinalalamika
Vyama vya upinzani vinalalamika.
Lawama, lawama, lawama......"blame game".

Mzunguko wa lawama ni mduara usiokoma kama ulivyo mzunguko wa umasikini " vicious cyle of poverty".

Katika mchezo wa lawama Kila mmoja hujitafutia kinga ya makosa na kukwepa uwajibikaji...nchi inalia hiii tumakinike jamani.
 
Kweli kabisa....

Rejea kadhia ya Zitto Kabwe na Chadema....
Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao.

My take
Hivi inawezekana kweli kwa Tanzania yetu chama cha upinzani kikafanya mauaji kama Yale ya Kibao!? Ukizingatia mheshimiwa Rais alijisifu kwamba intelejensia ya Tanzania ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom