Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

Kaongea upuuzi mtupu
 
Kaongea upuuzi mtupu
 
Hii nchi kila mtu analalamika.
Serikali inalalamika,
Chama dola kinalalamika
Vyama vya upinzani vinalalamika.
Lawama, lawama, lawama......"blame game".

Mzunguko wa lawama ni mduara usiokoma kama ulivyo mzunguko wa umasikini " vicious cyle of poverty".

Katika mchezo wa lawama Kila mmoja hujitafutia kinga ya makosa na kukwepa uwajibikaji...nchi inalia hiii tumakinike jamani.
 
Kweli kabisa....

Rejea kadhia ya Zitto Kabwe na Chadema....
 
Huyo naye ni mchambuzi? Anyway ni haki yake kikatiba kutoa maoni yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…