Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo
Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha kauli hizo na chama kinachojinasibu na kutoshiriki Uchaguzi Mkuu
Mwenyekiti Kawaida ameyasema hayo wakati alipokuwa akihutubia Mkutano wa Hadhara uliofanyika jana 24 Juni, 2025 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kabwe, Nkasi Mkoani Rukwa
Kawaida amehitimisha ziara yake leo katika Kata ya Kabwe, ziara iliyohusisha Mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe na Kigoma kuanzia 11 - 24