GE2025 Mohamed Kawaida: Wateueni wagombea ambao CCM haitapata shida kuwanadi

GE2025 Mohamed Kawaida: Wateueni wagombea ambao CCM haitapata shida kuwanadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

KIJICHO PEVU

Member
Joined
May 4, 2024
Posts
69
Reaction score
49
WATEUENI WAGOMBEA AMBAO CCM HAITAPATA SHIDA KUWANADI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T)

Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Ali Kawaida amewataka wajumbe wa kikao cha halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Kagera kutenda haki kwa kuwapitisha wagombea udiwani ambao chama hakitapata shida kuwanadi kwa wananchi kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika octoba mwaka huu.

Akiongea kwenye kikao hicho kilichoketi leo Agosti 13, mwaka huu Mjini Bukoba yalipo Makao makuu ya CCM Mkoa wa Kagera, @comrade_kawaida amesema kuwa chama chao kinaaminika na watanzania hivyo wajumbe wahakikishe wanawaleta watu amba oni machaguo ya wananchi.

#KaziNaUtuTunasongaMbelee
#OKTOBATUNATIKI✅✅

IMG-20250814-WA0105(1).jpg
 
Back
Top Bottom