Mohamed Mchengerwa anaweza kuwa mgombea wa urais 2030

Mohamed Mchengerwa anaweza kuwa mgombea wa urais 2030

Buzi Nene

Senior Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
148
Reaction score
340
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake.

Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura.

Binafsi kama mtumishi nimeridhishwa na utendaji wake.
Karibuni kwa hoja.
 
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi,hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake,namuona kabisa 2030 Chama cha mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Uraisi na mimi nitampigia kura.
Binafsi kama mtumishi nimeridhishwa na utendaji wake.
Karibuni kwa hoja,uzi tayari.
Usimwamini mwanasiasa.....
 
Ebu subiri uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu upite, kisha umpime na kumtambua kuwa bado anatosha ama la. Kwa maana dhamana ya uongozi aliyokuwanayo hapo TAMISEMI ni kipimo sahihi cha uadilifu wake kwa umma wa Watanzania.
 
Mchengerwa amemuoa Wanu Binti wa Hangaya, Sasa hiyo 2030akitoka ma Mkwe anaingia Mkwe au wewe ndo Nchengerwa mwenyewe umeamua kujifungulia uzi.
Shortly hafai kuwa rais sio presidential material
 
Mwanangu mwenyewe wa kiwalani,Kuna kipindi tuligombea Dem,nilimzidi lakini,Ila huyo mke wake kaanza nae kitambo
 
Watu wa coast hapana mazee. Wako vizuri tatizo wana chawa wengi sana. Yaani " Bosi hana shida tatizo chawa" angalia viongozi wengi wa pwani Jk ana chawa kibao, namba moja ndio usiseme, mzee wa luangwa kabisaa
Hata ridhiwani alikuwa na chawa kibao kina muddy sebene.chawa wamemzunguka mpaka uwanja wa mazoezi ya mpira.
 
Jamani acheni kuendelea na hii mada. Mhusika anaweza kuiona na kuifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom