Mohamed Mchengerwa anaweza kuwa mgombea wa urais 2030

Zanzibara au hapa kwa wasandawe?
 
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake.

Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura.

Binafsi kama mtumishi nimeridhishwa na utendaji wake.
Karibuni kwa hoja.
Nakubali
 
Kuna KENGE mwingine niliwahi kumsikia,hayo kweli ni mawazo ya KIKENGE ya KENGE 🤔🤔😅😅🤸
 
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake.

Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura.

Binafsi kama mtumishi nimeridhishwa na utendaji wake.
Karibuni kwa hoja.

Amekutendea nini? Waeleze wanaJF alichokufaidisha.
 
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake.

Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura.

Binafsi kama mtumishi nimeridhishwa na utendaji wake.
Karibuni kwa hoja.
Kwa nchi ilijaa wapumbavu kama hii lolote linawezekana
 
Back
Top Bottom