TANZIA Mohamed Raza afariki dunia. Ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mdau mkubwa wa michezo Zanzibar

Kifo cha ndugu yetu mpaka sasa page ya 2, sipati picha angelikua wa upande wa pili especially wa huku kwetu bara 😁

Jamaa alikua ni mwamba sana, Hela aliichuma, familia kaiacha katika mazingira salama, Japo Dr Mwinyi kule Zanzibar anapigana kuitoa company yake Palle AirPort. Alikua ni muumini wa Zanzibar huru kwa mda mrefu sana. Hakuwa na U element za u CCM kabisa. Alikuwa ni CCM maslahi tu kama walivyo watu wa jamii ya kihindi wengi tu. wengi hujifanya CCM kwa kulinda Biashara zao.
 
Aise, ni mhindi kumbe!
 
Back
Top Bottom