TANZIA Mohamed Raza afariki dunia. Ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mdau mkubwa wa michezo Zanzibar

Tate Mkuu
Leo nimemkumbuka baba πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“ nipe hata pole nipoe kidogo
Aendelee kupumzika kwa amani Mwamba John Pombe Joseph Magufuli
Dah! Basi ngoja tu nikupe pole ya kinyonge. πŸ™
 
Kifo cha ndugu yetu mpaka sasa page ya 2, sipati picha angelikua wa upande wa pili especially wa huku kwetu bara 😁

Jamaa alikua ni mwamba sana, Hela aliichuma, familia kaiacha katika mazingira salama, Japo Dr Mwinyi kule Zanzibar anapigana kuitoa company yake Palle AirPort. Alikua ni muumini wa Zanzibar huru kwa mda mrefu sana. Hakuwa na U element za u CCM kabisa. Alikuwa ni CCM maslahi tu kama walivyo watu wa jamii ya kihindi wengi tu. wengi hujifanya CCM kwa kulinda Biashara zao.
 

Aise, ni mhindi kumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…