Mohamed Said ana siasa za kulialia

kundi kubwa la wanaopenda kusema waislamu wanabaguliwa !:
* maeneo ya magomeni kwenye vijiwe vingi na mitaani.
*kariakoo sehemu za misikiti baadhi na vijiwe vya kahawa.
*zanzibar huko hakuna pakujuza.
*ndugu zao waliopigania uhuru.
*wasio taka kusomesha watoto wao kwa kuwa elimu ilikuwa inaonekana ya ukristo.
*elimu finyu zilizojaa pandikizi kama wale waliokula mikongoto mwembechai na kule nairobi.
*pandikizi wanao toka nchi za kiarabu kujifanya wanakuja kusaidia waislamu "kuna kipindi mwalimu aliwafulumusha kama mbwa baada ya kuona nchi inapoelekea ina gawa"

mangine mtamaliza wenyewe maana na jua kwa nini wanasema wametengwa.
 
Sababu mojawapo ambayo inafanya watu wajifiche katika uhitaji wa mpango mpya wa kuitawala dunia ni chuki zitokanazo na hisia kidini. Akili za wengi zimeshikwa, na mioyo yao imejaa chuki kwa kuwa kimakuzi zikaririshwa kujiona kuwa na uduni wa kidini.
 
Ni kweli kabisa RIP JPM aliwajengea msikiti wa bei kubwa pale Kinondoni kama zawadi yake kwao. Wakisimama na kudai kuonewa watakuwa ni kichekesho cha karne.
 
Hivi kumbe nchi hii bado kuna wajinga na wapumbavu wanawaza kwa muktadha wa kidini?

Hao watakuwa mafalingunda kabisa! Saivi dunia inazungumzia mambo makubwa na mazito kupania wigo wa maendeleo na aiyo nonsensical issues kama hizi!
 
Huyu mzee anatumikaga vibaya sana...ni mlalamishi asie na hakika.
 
Siku zote mimi naamini Mohamed Said ni mwandishi mjinga na hata yeye anajua.
 
Nikweli kama ile Hoja ya Muasisi wa CHADEMA mzee Mtei kwamba Jakaya kajaza waislam kwenye nafasi za uteuzi za wabunge la Katiba ' watu kama hawa ni shida
 

Kakojowe ukalale hivi wale uamsho waliokaa gerezani miaka 9 , na hawa waislamu wa Tanganyika walioko gerezani mpaka leo kwa mashitaka ya kutunga ya ugaidi hamuyaoni , munayaona ya Mbowe mkiristo mwenzenu kuwekwa ndani
 
Kakojowe ukalale hivi wale uamsho waliokaa gerezani miaka 9 , na hawa waislamu wa Tanganyika walioko gerezani mpaka leo kwa mashitaka ya kutunga ya ugaidi hamuyaoni , munayaona ya Mbowe mkiristo mwenzenu kuwekwa ndani
Bahati mbaya au nzuri waliwekwa gerezan na muislam mwenzao. Sasa sijui ndio kusema hampendani ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…