Mohamed Said ana siasa za kulialia

Yule mzee anatatizo kubwa sana la kisaikolojia.
Na kea mindset yake ashukuru amezaliwa TZ ingekuwa huko middlestone sasa hv angekuwa yupo na mjegeje akiua watu.
 
Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.

Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Sawa kabisa kama ilivyo kwa

Spika wa bunge ni muislam
Naibu wake ni muislam
Mkuu wa majeshi muislam
Mkuu wa polisi muislam
90% mawaziri waislam
90% wakuu wa mikoa waislam
 
Kiukweli siku ile sikumuelewa kbs mzee mo.said
Alikuwa anahoja nzuri lakin,kwahali ya kawaida ni hoja mfu inahitaji ufafanuzu wa hali ya juu kwasababu watanzania wanaumizwa na maccm na ndan ya masisiem waislam wengi ndy wapo on the top kweny uongozi.
Ndy maana mshiriki mada mwenzia alimuuliza kuhusu hali ya watanzania nnje na dar es salaaam mbn wote hali zao ni moja,wote ni mafukara wa kutupwa!

Alikuwa anahoja nzuri lakin inahitaji ufafanuzu wa hali ya juu sana.
 
hii nchi wakristo awakwepeki kwenye mfumo kwasababu ya uwingi wao.
 
Ni kweli WaIslam wanabaguliwa sana ndio maana.

Rais wa JMT ni mgalatia
Waziri Mkuu ni Mgalatia
Rais wa Zanzibar ni Mgalatia
Jaji Mkuu ni Mgalatia
Jaji Kiongozi Mgalatia
Mkuu wa deep state naye pia mgalitia!
 
Mzee nimemsikiliza hana jipya. Kabakia kuomba sympathy kwa Mohamed mwenzake mwandishi wa habari amuelewe anachozungumza, of which he failed miserably. Hana research mpya zaidi ya zile za miaka 30-40 years plus ya nyuma za Savlon, Njozi, et al. Watawala wamempuuza totally, yeye bado kang'ang'ania hadi leo hii eti ajibiwe hoja zake mfu zilizofilisika ambazo keshajibiwa zote humu jukwaani na Wachangiaji makini mbalimbali. Mzee anazungumza ujinga mtupu sasa kwa hali ya Tanzania ya leo.
 
On point !!
 
Punguza makasiriko pata burudani kwnaza.
View attachment 2044075
Hata wakiwa mawaziri wote ni waislam je wanatusaidia nini sisi waislam tulioko mitaani ? Au hata wakiwa mawaziri wote ni wakristo wanawasaidia nini wakristo wenzao waliopo mitaani ? Hii dhana ilishapitwa na wakati, Mimi naamini hawatusaidii chochote kutokana na dini zao,
 
2012 walivyoambiwa sensa ihesabie kwa dini kanisa lilipinga sana kwa nguvu zote,
Sasa ili tuwekane sawa tufanye kampeni kwa pamoja mwakani tuhesabiane kwa dini ili tuone nani wengi
Rubbish!!!

Then mkishakuwa mpo wengi kuna siku wingi wenu utakuletea kula mezani kwako eti?au kukusomeshea watoto wako wapate nao elimu nzuri kama watoto wa watawala wanaokutawala?sijui kama unajitambua.
 
Phy...
Tunaweza hapa tukafanya mjadala wa adabu na heshima na jamii ikanufaika na hoja.
Bahati mbaya umeanza mjadala na lugha za kejeli.

Umekuja na neno, ''kulialia.''

Ikiwa unataka kujadili na mimi njoo za lugha za kiungwana kwani inawezekama kabisa ukasema hayo uliyosema katika njia ya staha na kuheshimiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…