Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Remote, upadirisho ni daraja, linalokuwa earned, kama ilivyo udakitari, once ukiwa Padri, wewe ni Padri, hata ukiachishwa upadri, bado unaitwa Padri, kama Father Nkwera, Padri Silaha, etc, kitu ambacho hawawezi kufanya ni kuendesha tuu ibada ya misa takatifu, lakini Padri Karugendo, sio tuu ameachishwa upadri, bali amefutiwa huo upadri kwa kubatilishwa na haruhusiwi kujiita Padri, japo bado anajiita hivyo.- Labda Tuseme Ulitaka Kumaanisha PADRI PRIVATUS KARUGENDO, Ambaye Pia Alishaacha Upadri Huo Ingawa Bado Anatambulika Kama Padri.
Padri aliyeacha upadiri ni Dr. Slaa, Padri Privatus Karugendo, hakuacha, bali ameachishwa! baada ya Askofu wake wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine NiweMugizi kumshitaki kwa Baba Mtakatifu Papa Benedikto wa XVI, ambaye alitoa hati ya kumfuta kabisa kwa kubatilisha upadiri wake na kurejesha kuwa muumini wa kawaida yaa ni Mlei.
Kosa lake ni hili Sababu za "kufutwa" kwa Upadre wa Karugendo - JamiiForums
P