Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Winga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.
Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .
Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .
Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
Kule Roma alikuwa anacheza na akina nani ?Niliposoma hapo tu sijaendelea kupoteza muda wangu wa kusoma habari yote.
Angetangulia kuwapa AS Roma angalau copa italia ningeelewa ulichoandika
Kitu ambacho hujui ni kwamba Roma wanakikosi kizuri na balanced kuliko livapunga, kama upo tayari sema tuende mchezaji mmoja mmojaKule Roma alikuwa anacheza na akina nani ?
Nilivoona avatar yako tu...nikaipuuza hii post yako..Kitu ambacho hujui ni kwamba Roma wanakikosi kizuri na balanced kuliko livapunga, kama upo tayari sema tuende mchezaji mmoja mmoja
Wazee wa next season Umeipuuza post ila umefanikiwa kui qoute? LOOOOOOOOOOOOOOLNilivoona avatar yako tu...nikaipuuza hii post yako..
manyanga'au mtaisoma namba season ijayo...
Mo Salah atatisha. So kwa sababu ni tishio, bali ni kwa sababu ya wachezaji watakaomzunguka. Mtu umezungukwa na Firmino, Mane afu na kachawi ka kiBrazil Coutinho...
Isitoshe Lallana nae. Na ukizingatia uwezo wake Wa kuSprint, ase Liver hii mmmmmmmm
Mkuu ulitegemea nini kwa timu level ya Liverpool? Sawa na mashabiki wa deportivo la coruna walipokua wanamuona lucas perez kama mungu wao, huna haja ya kushangaa kila timu ina staa wao kulingana na level ya timu yake.Dah sijaiona iyo,,,,na kutinya pia mchawi wa soka????
Hawa wote wataendelea kuwepo Liverpool?Mo Salah atatisha. So kwa sababu ni tishio, bali ni kwa sababu ya wachezaji watakaomzunguka. Mtu umezungukwa na Firmino, Mane afu na kachawi ka kiBrazil Coutinho...
Isitoshe Lallana nae. Na ukizingatia uwezo wake Wa kuSprint, ase Liver hii mmmmmmmm
UBINGWA NI WA TOTENHAM HOTSPURSWinga hatari wa Misri ambaye amejiunga na Liverpool akitokea AS ROMA ya Italia Mohamed Salah , anaweza kuipa Liverpool ubingwa wa kwanza , na hivyo kukata kiu ya mashabiki wa timu hiyo waliokaukiwa makombe kwa kipindi kirefu kinachofiikia umri wa mtu mzima.
Ni faida kubwa sana kwa ligi ya uingereza kupata mchezaji wa aina hii , huyu si mchezaji wa kupaka rangi mpira ili apigwe picha , ni mchezaji mkali ambaye kosa moja linaweza kukugharimu magoli mawili .
Ni miongoni mwa wachezaji wakali wa dunia hii wasiofahamika sana .
Muda utaongea , bali naipongeza sana Liverpool kwa kuwa na jicho la 3 la kuweza kumuona mchezaji huyu.
Kashindwa nnameshindwa suarez ijekuwa huyo