Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Mo Salah atatisha. So kwa sababu ni tishio, bali ni kwa sababu ya wachezaji watakaomzunguka. Mtu umezungukwa na Firmino, Mane afu na kachawi ka kiBrazil Coutinho...
Isitoshe Lallana nae. Na ukizingatia uwezo wake Wa kuSprint, ase Liver hii mmmmmmmm
Watacheza hao wote wanne kikosi kimoja yaani kwa wakati mmoja?
 
Mkuu ulitegemea nini kwa timu level ya Liverpool? Sawa na mashabiki wa deportivo la coruna walipokua wanamuona lucas perez kama mungu wao, huna haja ya kushangaa kila timu ina staa wao kulingana na level ya timu yake.

Big up kamanda. Umeongea ukweli aise,,,kula big like
 
Ina onekana jinsi ulivyo mgeni wa EPl ww nadhan umjui CHELSEA

LET'S BLUE COLOUR FLY HIGH
Misimu miwili iliyopita totenham Hotspurs walimaliza msimu wakiwa nafasi ya tatu. Mwaka huu imemaliza nafasi ya pili, mwakani ni kutwaa ndoo.
Make no mistake.
 
Misimu miwili iliyopita totenham Hotspurs walimaliza msimu wakiwa nafasi ya tatu. Mwaka huu imemaliza nafasi ya pili, mwakani ni kutwaa ndoo.
Make no mistake.
Asay noo msimu wa 13/14 walikua wa nne, 14/15 walikua wa tatu, 15/16 walikua wa pili, 16/17 wakaenda namba tano
 
Asay noo msimu wa 13/14 walikua wa nne, 14/15 walikua wa tatu, 15/16 walikua wa pili, 16/17 wakaenda namba tano
Tuna mkakati wa kutwaa kombe na sio kufurahisha baraza.
 
Henderson ni back pass player. Hapeleki mipira mbele. Bora Wiljudin G.
Can ataingia sub ya Firminho kupunguza speed ya adui. Technical sub.
Hapo ni kwamba 6. Wiljudin, 7. Mane, 8. Coutinho, 9. Origi, 10. Firmino, 11. Salah. Mnapotezwe kiungo hamtaamini nakuambia na huyu Coutinho na Wiljudin watapata wakati mgumu sana kupeleka mipira mbele
 
Back
Top Bottom