Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Sarah hawezi ku -dribble mpira, yeye mpaka umlishe pass ndefu imfikie kushoto ama kulia - sasa kwa mbio zake na shabaha aliyonayo ni hatari.

Hii ndiyo weekness aliyonayo. Ili uwe mchezaji wa kiwango cha juu unatakiwa kuwa na kila kitu - bado kwangu mimi hajafikia hata kidogo viwango vya kina Hazard na Countinho - Ila ni mchezaji ambaye ataisaidia Liverpool kupata nafasi kucheza Ligi ya Mabigwa Ulaya.

Kumuweka kwenye list ya viwango vya Dunia bado sana; bado sana.




 
Sasa ndugu yangu kwa hiyo wachezaji best lazima wawe dribbler. Sisi tulikuwa na Mogela mchezaji bora alikuwa na dribble? Romario? Ronaldo mwenyewe sio good dribbler. Muhimu je huyu mchezaji ana changia team yake kupata ushindi. Mo hajawa mchezaji bora bado ila ni mchezaji mzuri sio Liv tu pia kaipeleka team yake Egypt world cup kwa huo mpira wake. He is good player
 
Na ana spidi, one on one lazima umshike shati.
 
Mkuu, hayo yote sawa, ila niliogopa pale uliposema sasa yupo kiwango cha Dunia, yaani yupo daraja moja au karibu kabisa na kina Messi, Ronaldo, Neymar, Continho na kidogo Hazard.

Ila ki ukweli ni mchezaji mzuri - niliumia pia alipondoka - nakumbuka goli alilolotutungua CPL away game akiwa na Basel - Mourihno akamnunua kisha hakumtumia akamuuza tena.

He is a good player tukubali tu ukweli, ingawa bado kuwafikia wale giants wa dunia.


Mohamed Sarah akitutungua goli kwenye mechi ya CL mwaka 2013,

 
Hayo mambo ya chenga twawala wanayo KMKM ya unguja , huku hakuna .
 
Ili ufikie viwango vya dunia unatakiwa uwe vp??
 
Hao wachezaji wote uliowataja ni top ila sasa Messi ni level nyingine tatizo lake hajashinda kitu nje ya Barca. Ronaldo ni mfungaji bora sio lazima uchezaji bora kwa maoni yangu mimi Xavi wakati wake na Iniesta ni bora akili ya mpira. Neymar bado hajafanya lolote ana safari ndefu sio kwa kujificha katika league dhaifu. Coutinho mzuri sana tu ila nakuhakikishia leo Liv ukiwaambia muuzeni mchezaji mmoja kt ya Cout na Salah watamuuza Cout. Sababu Salah anawafungia magoal mengi na game changer ila Coutinho ni mzuri sana wanacheza positions tofauti na majukumu tofauti.
 

Mkuu nje ya Barca Messi kabeba Fifa u20 world cup ilipigwa Netheland

Gold medal nchini Beijing 2008...kama unakumbuka Brazil ilipigwa 4 na Argentina messi alipiga hatrick.
 
Nakubaliana na ww mkuu ila siyo kuipa Liverpool ubingwa
They have waited since 1989
He is just a single player.He is one of eleven
Liverpool had so many world class players like Gerald,Alonso,Albeloa and many others who won UCL but failed to win league title
For this current Liverpool, they will continue wait and wait since they haven't proove to us that they have different plans from those of previous seasons.
It is different from their fellows of top six
 
mkuu, nilipomaliza tu kusoma hii post yako nikajikuta nakumbuka Chato na watu wake, sijui kwa nini.

samahani lakini....
 
Sijui ilikuwaje Chelsea tukamuuza. I guess the competition was stiff. Na hili sasa linaweza kupelekea tukampoteza mtu kama Willian. Benchi halimfai kabisa.
C yule boss mjinga wa man u ndo alimuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…