Mohamed Salah ni Mchezaji wa kuchungwa sana EPL

Niliposoma hapo tu sijaendelea kupoteza muda wangu wa kusoma habari yote.

Angetangulia kuwapa AS Roma angalau copa italia ningeelewa ulichoandika
Four years down the line, bado msimamo wako ni huu?
 
Nimekunyooshea mikono juu mkuu wewe ni hatari, Uliyosema yote yametimia.... Wewe sasa ndo unajua maana halisi ya uchambuzi wa Mpira
 
Mkuu Erythrocyte(RBC) Kwanini usiachane na mambo ya siasa ujikite na uchambuzi wa Mpira kama Ramadhan Mbwaduke anajipigia pesa nzuri saivi.

Maana naona kwenye soka una jicho pevu zaidi huko Siasani utapoteza muda tu maana kile chama kitatawala mpaka 2080

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
 
Ombi lako linafanyiwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…