Mohamed Seleman afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka minne

Mohamed Seleman afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka minne

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Lindi imemhukumu Mohamed Said Selemani mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi, kwenda jela kutumikia kifungo cha maisha na kumlipa muhanga fidia ya shilingi 1,000,000/= kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 4 jinsia ya kiume.

Mtuhumiwa alitenda kosa hili Aprili 22, 2024 huko kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi na kumsababishia maumivu makali kwa muhanga.

Hukumu hiyo ya kesi namba 11774 ya mwaka 2024 imetolewa na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Maria Batulaine huku upande wa Jamhuri uliokuwa ukiongozwa na John Remi ambapo ulileta mashahidi watano pamoja na vielelezo karatasi ya Polisi fomu namba 3 (PF 3) pamoja na cheti cha kuzaliwa.

Mtuhumiwa huyo alifikishwa kwenye mahakama hiyo Mei 06, 2024 na kusomewa shitaka lake ambapo alikana shitaka.

1718340094726.png
 
Hii kesi ilitawaliwa na hisia Ndio maana mzee kapigwa Kufuli la kutu hilo. Kesi within 3 months imeisha. Proof ni PF 3 . Kesi imejaa Mabinti wadogo, asingetoboa.
Ila good kwa uendeshaji wa kesi za jinai kwa muda mfupi wenzetu wa kusini.
Sasa waendeshe kesi zote hivo. Hamna sehemu inaongoza kesi kuwa ndefu kama kusini. Mahabusu wanatumia hadi miaka nane kupata hukumu, 90% of the cases.
Alafu wengi huachiwa almost 30% ya kesi za huko.
 
😂 😂 😂
Mbona Jukwaa la Sports, Mods vipi jamani mmelala? Alafu wakati mwingine watu huwa wanapost picha za utupu humu. Mods Kuweni makini basi
 
Halafu baadae huyo mtoto akiwa shoga utasikia ni shauri ya chanjo za wamarekani ,au utasikia ni vitabu vya juma kapuya foundation
 
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Lindi imemhukumu Mohamed Said Selemani mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi, kwenda jela kutumikia kifungo cha maisha na kumlipa muhanga fidia ya shilingi 1,000,000/= kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 4 jinsia ya kiume.

Mtuhumiwa alitenda kosa hili Aprili 22, 2024 huko kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi na kumsababishia maumivu makali kwa muhanga.

Hukumu hiyo ya kesi namba 11774 ya mwaka 2024 imetolewa na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Maria Batulaine huku upande wa Jamhuri uliokuwa ukiongozwa na John Remi ambapo ulileta mashahidi watano pamoja na vielelezo karatasi ya Polisi fomu namba 3 (PF 3) pamoja na cheti cha kuzaliwa.

Mtuhumiwa huyo alifikishwa kwenye mahakama hiyo Mei 06, 2024 na kusomewa shitaka lake ambapo alikana shitaka.

View attachment 3016882
Angekuwa ni Padre au Katekista; kuna watu wasingekosekana kwenye huu uzi. Ila ndiyo hivyo tena. Tunapo waambia haya matukio hayaangalii dini, imani, sura au cheo cha mtu! Huwa hawaelewi.
 
Hivi hiyo fidia analipa kwa mfumo upi?
Asipolipa ni Nini kinatokea?
Utaratibu wa fidia uko hivi (kutoka kwa mimi Bush Lawyer); unatumikia kifungo chako! Halafu ukimaliza tu, yule mhanga anatakiwa akufungulie kesi ya madai mahakamani. Ukishindwa kulipa, basi unafilisiwa mali zako ili kulipia hiyo fidia.

Ila kimsingi hili jambo sidhani kama linatekelezeka kivile.
 
Zee zima hovyo limekula michumvi ya kutosha limeona haitoshi linataka kuharibu vizazi vijavyo kwa kuwaachia ushoga, watu km hao ni wa kunyongwa..!! Halafu ndio mnapiga kelele kuhusu ushoga!!! Mmeona waharibifu na wazalishaji hao mashoga.
Hapo atakuwa kawaingilia watoto wangapi ambao taarifa zao hazikuwekwa wazi?? Wanaume ni viumbe vikatili sana!! Kuna mmoja kampanda ng’ombe hana hata wasiwasi ptyuuuuuu 🤮🤮🤮
 
Back
Top Bottom