Mohamed Seleman afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka minne

Huenda mzee pia kasingiziwa,tusiamini Kila jambo
 
Ni rahisi sana mtu kusingiziwa kesi ya. Namna hii,
 
Kwa mazingira yetu ya bongo ni rahisi sana mtu kusingiziwa kesi ya ubakaji na ulawiti.
 
Halafu baadae huyo mtoto akiwa shoga utasikia ni shauri ya chanjo za wamarekani ,au utasikia ni vitabu vya juma kapuya foundation
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu una nn lakinii? Khaaah
 
Hizi case za ulawiti zimeshamiri sana, na nyingi zikiwa za kusingiziwaa. Lol

Inaogopesha mnoo,
 
Kama ww ni mwanaume hizi kesi za kubaka na kulawiti sio za kuzifurahia maana kuna siri nzito kwenye hizi kesi hawa wanawake tunaishi nao tu ila ni zaidi ya shetani haya matukio mengi ni ya kutengenezwa hayana uhalisia kwasababu ya migogoro ya kifamilia ndio inasababisha yote hayo.
 
Kama ww ni mwanaume hizi kesi za kubaka na kulawiti sio za kuzifurahia maana kuna siri nzito kwenye hizi kesi hawa wanawake tunaishi nao tu ila ni zaidi ya shetani
Kumbuka aliyelawitiwa ni mtoto wa miaka 4 wa jinsia ya kiume. Sijajua hoja ya mwanamke inaigiaje hapo
 
Shida ni nini!?
Au ni magonjwa ya akili!?Mbona mambo haya yameshamiri sana!?
 
Kumbuka aliyelawitiwa ni mtoto wa miaka 4 wa jinsia ya kiume. Sijajua hoja ya mwanamke inaigiaje hapo
Namaanisha baadhi ya wanawake walio kwenye ndoa wanawategeshea waume zao kesi za ulawiti kwasababu zao binafsi.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mbona Jukwaa la Sports, Mods vipi jamani mmelala? Alafu wakati mwingine watu huwa wanapost picha za utupu humu. Mods Kuweni makini basi
Mpaka muda huu upo jukwaa la sport kana kwamba alikuwa striker wa Utopolo kitambo miaka ya 70's
 
Jambo la kutafakarisha sana
 
kama wameipua akienda court of appeal ataachiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…