Atapewa ubunge kwenye nafasi 10 za rais atakayekuwepo.Kabudi hagombei this time?
Kilosa wanawapenda hao maponjoroPonjoro wa Kilosa vs Mkimbizi wa Jalalani
Vita itakuwa kali
Na naskia kuna majini hatari. Hata waluguru wanawapenda sanaKilosa wanawapenda hao maponjoro
HahahahahaNa naskia kuna majini hatari. Hata waluguru wanawapenda sana
Nae kachukua formu jana aisee...Atapewa ubunge kwenye nafasi 10 za rais atakayekuwepo.
Si ndy matajiri wa mwanzo hukoKilosa wanawapenda hao maponjoro