ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India
Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6
Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya fujo hakuna wa kumgusa
Huyu bwana ananyanganya watu viwanja na nyumba huko Dar
Tunaomba serikali Kwa maana ya police, mahakama, mkuu wa mkoa oneni basi aibu kidogo, hata Mitanganyika ni mipumbavu ndo waje mabagacholi kutoka India kunyanyasa ngozi nyeusi
Mkamateni Mohamed Yussoufeli Kwa makosa yake ya kunyanyasa yule mjane Kwa kubomoa nyumba yake na kumfukuza kama mbwa nyumbankwake