JPM Kosa lingine alilofanya ni kuwashikilia hawa wezi (phyisical change) akasahau kujua kuna badilika la kikemia (chemical chnges) ambalo halina reversible reaction. Rejea Seth wa IPTL, and the likeMohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India
Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6
Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya fujo hakuna wa kumgusa
Huyu bwana ananyanganya watu viwanja na nyumba huko Dar
Tunaomba serikali Kwa maana ya police, mahakama, mkuu wa mkoa oneni basi aibu kidogo, hata Mitanganyika ni mipumbavu ndo waje mabagacholi kutoka India kunyanyasa ngozi nyeusi
Mkamateni Mohamed Yussoufeli Kwa makosa yake ya kunyanyasa yule mjane Kwa kubomoa nyumba yake na kumfukuza kama mbwa nyumbankwakeView attachment 3478007View attachment 3478008
Chini ya churaa, bongo ni shamba la chiziMohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India
Kwenye utawala wa Magu alikabiliwa na kesi 199 zikiwemo za kutakatisha fedha, mikataba ya ulaghai, ufisadi na ukwepaji Kodi kiasi cha billion 15.6
Baada ya kifo cha JPM huyu bwana aliachiliwa akakimbia nchi kidogo na Sasa amerejea na anafanya fujo hakuna wa kumgusa
Huyu bwana ananyanganya watu viwanja na nyumba huko Dar
Tunaomba serikali Kwa maana ya police, mahakama, mkuu wa mkoa oneni basi aibu kidogo, hata Mitanganyika ni mipumbavu ndo waje mabagacholi kutoka India kunyanyasa ngozi nyeusi
Mkamateni Mohamed Yussoufeli Kwa makosa yake ya kunyanyasa yule mjane Kwa kubomoa nyumba yake na kumfukuza kama mbwa nyumbankwakeView attachment 3478007View attachment 3478008
Kwa mahakama gani ashinde??? Hii inayoendeshwa kwa maagizo ya Laanatu Llah mmoja wa kike anaehisi ataishi milele??Hivi huyu mama alivoburuzwa vile akifungua kesi kudai fidia atashinda kweli
Mpango wao ni kunyonya wanyonge na wanyonge kuimba anaupiga mwingi- mitano tena- haki ya nani, huyu Yesu arudi tu aje kushikisha watu adabu Kwa utawala wa haki.Hivi sisiemu ina mpango gani na raia wake?
Kwa mahakama hizi kashapotezaHivi huyu mama alivoburuzwa vile akifungua kesi kudai fidia atashinda kweli
Umeona ee, mimi huwa najiuliza sana, hawa watu wanavyo jilimbikizia mali za udhalimu hivi wana guarantee ya kuishi milele?Utajiri ulopitiliza watu huwa wanaupeleka wapi? Yaani kumiliki utajiri mwingi wa wizi unasaidia nini?
Bora ingekua hatufi.
Mfadhili wa chama chawalaMohamed Yussoufeli ni raia mwenye asili ya India