Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
View: https://www.youtube.com/watch?v=Vb7IeyvxrtE
Mzee wetu Mohamed Said ameeleza historia ya chimbuko la BAKWATA. Amesimulia kwa kina mchakato wa kuivunja East African Muslim Society na kuanzisha BAKWATA chini ya Mwl Nyerere. Amesema ndicho chanzo cha chuki ya Nyerere dhidi ya Bibi Titi.
Ameenda mbali na kusema aliyenzisha Bakwata anajulikana na hata katiba ya Bakwata ilichukuliwa neno kwa neno na Katiba ya TANU. Pesa nyingi zilitolewa kwa ajili ya kuwezesha mchakato
Mzee uje huku kuna maswali